Mwanaume Unapotaka kuoa zingatia hizi red flags

Hiyo namba tatu sinaga tatizo nayo tena na vutiwa nayo.
 
Ni kweli kabisa, ila kwa aina ya malezi yetu kibngo bongo ukichora tatoo wewe ni shindikanaa, umehasi malezi uliyopewa utotoni na wazazi wako.

Ni sawa na ushoga/usagaji kwa malezi yetu ni ufuska na haramu. Ila kuna mataifa ni ishu ya kawaida kabisa.

Je, hapa kwetu kwa malezi yetu mtu akiwa shoga/msagaji tuone yupo sahihii?.

Tutafakari.
 
1. Oa mwanamke kwao wazaz wako strict
Basi na wewe utaindeleza ile strict Ness.

2. Hakikisha unamtoa bikira mwenyewe

3. Hakikisha hapendi kukaa bar wala kunywa

4. Hakikisha ni mpole sio domo kaya.

5. Hakikisha anakupenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…