Mwanaume unayehitaji sana mtoto..

Shida mnabadilikaga nyie mambo ya kuanza kupelekana ustawi wa jamii

Saa hizi unasema vizuri tu kwamba ni hiari kulea baadae uanze kumuendea jamaa kwa mkewe kuwa hatumi matunzo

Otherwise it's a good deal
Ndio maana ni hiari
Kama unataka kweli mtoto utamjali
Na ukipotea ntamlea mwenyewe
 
Ndio nazidi kuwa mfupi toka tulivyoachana siku ile.🤣🤣
Nimekuacha hapo mlimani juzi tu ulikuwa unarefuka, imekuwaje tena🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Unataka mwanaume mrefu kwani unataka kuzaa mtoto mcheza basketball?

Masela wote mtaani umeshindwana nao hadi uje huku jf, k yako itakuwa imekula mileage ya kutosha kama injini ya dungu
Mitihani tu ya maisha ndugu, si kama unavyowaza
Nahitaji mrefu kwa kuwa mi mrefu kiasi
 
Nimekuacha hapo mlimani juzi tu ulikuwa unarefuka, imekuwaje tena🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Huwezi amini siku ile kidogo nikimbie, na huu uandunje nakutana na giant la kike...kidogo nile kona🤣🤣

Ndio maana nikataka kile nilichotaka🤣🤣
 
Utapata

Ila before hatujazaa itapendeza tuandikishane tuwe na (Contract).

Maana ulichofanya umeamua kupitia back door ili kuifikia ndoa.

So kugeukana na kupelekana mahakamani au ustawi haifai.
Ndoa hapana kwa sasa
Muhimu mtoto na co-parenting
Mtoto wetu akubalike na wazazi wote 2 baas
 
Ndio mwonekano nnaopenda
Nimejaribi kufosi kuwa na mtu nisiyempenda nimeshindwa na anasema anaona simpendi
 
Mwamba umeshtukia mtego sio...

Kama kweli anahitaji mtoto tu, basi angeshamtunuku mchizi yeyote kitaa akamue mzigo...
Sio rahisi kumfata mwanaume ukajieleza
Na wengi si wakweli
Ni rahisi kama mtu anahitaji mtoto pia ndio tukutane
 
Maisha yana mitihani sana
Kuliko unavyodhani
Ndo mana nahitaji mtoto tu na baba ambaye atakubali mtoto pia
Mahusiano napumzika kidogo kwa sasa

Najiweza kimaisha hivyo sitafuti fedha kwa mwanaume
 
Hawa watu ni madarali wanawatafutia wadada wanaotafuta kuzaa na huyo muhitaji ndio anatoa hivyo vigezo wengi mnaweza kudhani kuwa huyu ndie muhitaji amkeni wazee Dunia ishabadilika hii zama zimebadilika...
Si kweli
Hakuna dalali
Mhusika ni mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…