Mwanaume unayehitaji sana mtoto..

unahitaji mbegu ya aina gani haswa au kanyaga twende tu?

na hiyo mbegu itumwe kwenye email sio my lady?πŸ’

Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuambatana na hitaji lako, Aimen πŸ™
 
Ndoa hapana kwa sasa
Muhimu mtoto na co-parenting
Mtoto wetu akubalike na wazazi wote 2 baas


Hapo nimekupata Ila Kwa ustawi wa mtoto jaribu pia kufikiria Ku-trace background ya huyo unayetaka kuzaa nae

Maana nyie mnaweza kufa Ila ikiwa mtoto atapata Baba anayetoka familia nzuri maana yake itakuwa bora Sana.

Usijikite katika
Elimu, financial status, Ila just go deep
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…