Mwanaume usije kumpa zawadi au kitu mwanamke ukasema ataridhika, awe kasoma au hajasoma wote akili yao ni moja

Umesomeka vyema sana
 
Mfurahishe mama yako kwa chochote kikubwa hata kidogo lakini siyo kwa mtoto wa mtu kwa kigezo cha mke. Wanawake walikuwa kipindi cha agano la kale tu.
 
Kutoridhika, kucheat,.....ni tabia za binadamu wote regardless of jinsia.
 
Wanawake siku zote wanataka usichokuanacho...

Na kama binadamu ambaye hujakamilika huwezi kuwa na vyote, kumbuka KAKA aliambiwa yuko so "INNOCENT" anaboa...
 
You make ma day oga 🤣🤣
Of course lazima tutenganishwe, agenda zetu wanaume pertaining to wanawake ni mvutano wa kubalance majukumu sisi kama "vichwa wa familia" na wao kama "wasaidizi"; sasa wenzetu hawa penyewe genetically ni wanaume kitabia wanaleta ukakasi, mmoja anatunzwa na mwanamke na mwingine ni mwanamke
 
Katika biashara isiyolipa duniani na yenye hasara kubwa ni mwanaume kuwekeza kwa mwanamke, awe hawara au mke.,, isipokuwa kwa mama yako mzazi tu. Tangu mwanamke wa kwanza (Hawa) amekuwa na matamanio ya kuwa juu,, kuwa kama Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…