Mwanaume usije kumpa zawadi au kitu mwanamke ukasema ataridhika, awe kasoma au hajasoma wote akili yao ni moja

Leo mahsusi kwa wanaume,
Usije kujaribu kuwekeza pesa , akili , muda kwa mwanamke ni kosa kubwa unafanya,
Mwanamke toka anaumbwa Hana roho ya kuridhika na hatokuja kua na roho ya kuridhika,
Kwenye 10 utapata mmoja au asiwepo kabisa , na hii ni mwanamke awe mfanyabiashara, mkulima, Msomi, yaani wewe waweke kundi moja ili siku mambo yakiharibika usije kujiua bure,
Tunawakumbusha hata mke wako ndani anacheat kama kawaida lakini anafanya Siri Tu usijue na hacheat na mtu mmoja anao wengi kuliko unavifikiria,
Roho ya kuridhika kwa mwanamke hua haipo milele , na hilo sahau kwa sababu yeye ni mtu wa kujaribu vitu hadi anakufa,
Angalizo , mwanamke mwenye 40+ huyu asikusumbue maana Hana muda akifika 50 anaanza katafuta yeye nani amstiri hii kwa vijana mnaokimbilia single mother na wajane waacheni hao Wana dunia yao hua inawasubiri kuwatesa na hua wanajuta mwishoni.
Huo ni ushauri kwa vijana wa Leo chukua bure itakusaidia.
Umesomeka vyema sana
 
Mfurahishe mama yako kwa chochote kikubwa hata kidogo lakini siyo kwa mtoto wa mtu kwa kigezo cha mke. Wanawake walikuwa kipindi cha agano la kale tu.
 
Leo mahsusi kwa wanaume,
Usije kujaribu kuwekeza pesa , akili , muda kwa mwanamke ni kosa kubwa unafanya,
Mwanamke toka anaumbwa Hana roho ya kuridhika na hatokuja kua na roho ya kuridhika,
Kwenye 10 utapata mmoja au asiwepo kabisa , na hii ni mwanamke awe mfanyabiashara, mkulima, Msomi, yaani wewe waweke kundi moja ili siku mambo yakiharibika usije kujiua bure,
Tunawakumbusha hata mke wako ndani anacheat kama kawaida lakini anafanya Siri Tu usijue na hacheat na mtu mmoja anao wengi kuliko unavifikiria,
Roho ya kuridhika kwa mwanamke hua haipo milele , na hilo sahau kwa sababu yeye ni mtu wa kujaribu vitu hadi anakufa,
Angalizo , mwanamke mwenye 40+ huyu asikusumbue maana Hana muda akifika 50 anaanza katafuta yeye nani amstiri hii kwa vijana mnaokimbilia single mother na wajane waacheni hao Wana dunia yao hua inawasubiri kuwatesa na hua wanajuta mwishoni.
Huo ni ushauri kwa vijana wa Leo chukua bure itakusaidia.
Kutoridhika, kucheat,.....ni tabia za binadamu wote regardless of jinsia.
 
Wanawake siku zote wanataka usichokuanacho...

Na kama binadamu ambaye hujakamilika huwezi kuwa na vyote, kumbuka KAKA aliambiwa yuko so "INNOCENT" anaboa...
 
You make ma day oga 🤣🤣
Of course lazima tutenganishwe, agenda zetu wanaume pertaining to wanawake ni mvutano wa kubalance majukumu sisi kama "vichwa wa familia" na wao kama "wasaidizi"; sasa wenzetu hawa penyewe genetically ni wanaume kitabia wanaleta ukakasi, mmoja anatunzwa na mwanamke na mwingine ni mwanamke
 
Leo mahsusi kwa wanaume,
Usije kujaribu kuwekeza pesa , akili , muda kwa mwanamke ni kosa kubwa unafanya,
Mwanamke toka anaumbwa Hana roho ya kuridhika na hatokuja kua na roho ya kuridhika,
Kwenye 10 utapata mmoja au asiwepo kabisa , na hii ni mwanamke awe mfanyabiashara, mkulima, Msomi, yaani wewe waweke kundi moja ili siku mambo yakiharibika usije kujiua bure,
Tunawakumbusha hata mke wako ndani anacheat kama kawaida lakini anafanya Siri Tu usijue na hacheat na mtu mmoja anao wengi kuliko unavifikiria,
Roho ya kuridhika kwa mwanamke hua haipo milele , na hilo sahau kwa sababu yeye ni mtu wa kujaribu vitu hadi anakufa,
Angalizo , mwanamke mwenye 40+ huyu asikusumbue maana Hana muda akifika 50 anaanza katafuta yeye nani amstiri hii kwa vijana mnaokimbilia single mother na wajane waacheni hao Wana dunia yao hua inawasubiri kuwatesa na hua wanajuta mwishoni.
Huo ni ushauri kwa vijana wa Leo chukua bure itakusaidia.
Katika biashara isiyolipa duniani na yenye hasara kubwa ni mwanaume kuwekeza kwa mwanamke, awe hawara au mke.,, isipokuwa kwa mama yako mzazi tu. Tangu mwanamke wa kwanza (Hawa) amekuwa na matamanio ya kuwa juu,, kuwa kama Mungu.
 
Back
Top Bottom