green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Show show ausiohaina shida,, kifupi tena tumekutana kizazi cha mafirauni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Show show ausiohaina shida,, kifupi tena tumekutana kizazi cha mafirauni
Hao ni watoto si wanaume. Mwanaume halelewi.Vip wanaume wanao lelewa na wanawake?
Umesomeka vyema sanaLeo mahsusi kwa wanaume,
Usije kujaribu kuwekeza pesa , akili , muda kwa mwanamke ni kosa kubwa unafanya,
Mwanamke toka anaumbwa Hana roho ya kuridhika na hatokuja kua na roho ya kuridhika,
Kwenye 10 utapata mmoja au asiwepo kabisa , na hii ni mwanamke awe mfanyabiashara, mkulima, Msomi, yaani wewe waweke kundi moja ili siku mambo yakiharibika usije kujiua bure,
Tunawakumbusha hata mke wako ndani anacheat kama kawaida lakini anafanya Siri Tu usijue na hacheat na mtu mmoja anao wengi kuliko unavifikiria,
Roho ya kuridhika kwa mwanamke hua haipo milele , na hilo sahau kwa sababu yeye ni mtu wa kujaribu vitu hadi anakufa,
Angalizo , mwanamke mwenye 40+ huyu asikusumbue maana Hana muda akifika 50 anaanza katafuta yeye nani amstiri hii kwa vijana mnaokimbilia single mother na wajane waacheni hao Wana dunia yao hua inawasubiri kuwatesa na hua wanajuta mwishoni.
Huo ni ushauri kwa vijana wa Leo chukua bure itakusaidia.
Ngoma droo..Show show ausio
Kutoridhika, kucheat,.....ni tabia za binadamu wote regardless of jinsia.Leo mahsusi kwa wanaume,
Usije kujaribu kuwekeza pesa , akili , muda kwa mwanamke ni kosa kubwa unafanya,
Mwanamke toka anaumbwa Hana roho ya kuridhika na hatokuja kua na roho ya kuridhika,
Kwenye 10 utapata mmoja au asiwepo kabisa , na hii ni mwanamke awe mfanyabiashara, mkulima, Msomi, yaani wewe waweke kundi moja ili siku mambo yakiharibika usije kujiua bure,
Tunawakumbusha hata mke wako ndani anacheat kama kawaida lakini anafanya Siri Tu usijue na hacheat na mtu mmoja anao wengi kuliko unavifikiria,
Roho ya kuridhika kwa mwanamke hua haipo milele , na hilo sahau kwa sababu yeye ni mtu wa kujaribu vitu hadi anakufa,
Angalizo , mwanamke mwenye 40+ huyu asikusumbue maana Hana muda akifika 50 anaanza katafuta yeye nani amstiri hii kwa vijana mnaokimbilia single mother na wajane waacheni hao Wana dunia yao hua inawasubiri kuwatesa na hua wanajuta mwishoni.
Huo ni ushauri kwa vijana wa Leo chukua bure itakusaidia.
Tunaendelea tulipoishia🤣🤣itoshe kusema,tunawavuruga sana in real life,ila humu wanajitutumua tu....
Nb: na badooooooo😂
Of course lazima tutenganishwe, agenda zetu wanaume pertaining to wanawake ni mvutano wa kubalance majukumu sisi kama "vichwa wa familia" na wao kama "wasaidizi"; sasa wenzetu hawa penyewe genetically ni wanaume kitabia wanaleta ukakasi, mmoja anatunzwa na mwanamke na mwingine ni mwanamkeYou make ma day oga 🤣🤣
Katika biashara isiyolipa duniani na yenye hasara kubwa ni mwanaume kuwekeza kwa mwanamke, awe hawara au mke.,, isipokuwa kwa mama yako mzazi tu. Tangu mwanamke wa kwanza (Hawa) amekuwa na matamanio ya kuwa juu,, kuwa kama Mungu.Leo mahsusi kwa wanaume,
Usije kujaribu kuwekeza pesa , akili , muda kwa mwanamke ni kosa kubwa unafanya,
Mwanamke toka anaumbwa Hana roho ya kuridhika na hatokuja kua na roho ya kuridhika,
Kwenye 10 utapata mmoja au asiwepo kabisa , na hii ni mwanamke awe mfanyabiashara, mkulima, Msomi, yaani wewe waweke kundi moja ili siku mambo yakiharibika usije kujiua bure,
Tunawakumbusha hata mke wako ndani anacheat kama kawaida lakini anafanya Siri Tu usijue na hacheat na mtu mmoja anao wengi kuliko unavifikiria,
Roho ya kuridhika kwa mwanamke hua haipo milele , na hilo sahau kwa sababu yeye ni mtu wa kujaribu vitu hadi anakufa,
Angalizo , mwanamke mwenye 40+ huyu asikusumbue maana Hana muda akifika 50 anaanza katafuta yeye nani amstiri hii kwa vijana mnaokimbilia single mother na wajane waacheni hao Wana dunia yao hua inawasubiri kuwatesa na hua wanajuta mwishoni.
Huo ni ushauri kwa vijana wa Leo chukua bure itakusaidia.
😂😂Watazid kutujazia nyuzi humuuuTunaendelea tulipoishia🤣🤣
Hatuwaachi mpka kieleweke😂And here we go again🤣🤣🤣🤣
Nashauri muachane na wanawake kabisaaaaaaa.
🤣🤣🤣🤣🤣 Basi endeleeni kunyooka.Hatuwaachi mpka kieleweke😂
Mimi nipo na nyie bampa tu bampa, na si nyooki n'goo😜🤣🤣🤣🤣🤣 Basi endeleeni kunyooka.
Kwamba dasalama hakuna wanaume?Balthazar kutua Tanzania kwa mwaliko maalumuuu
Chiu tutakula wapi? Punguza raho mbaya😃And here we go again🤣🤣🤣🤣
Nashauri muachane na wanawake kabisaaaaaaa.
🤣🤣🤣 wewe si ulishindikana kitambo!!Mimi nipo na nyie bampa tu bampa, na si nyooki n'goo😜
Kwa malaika wenzenu🤣Chiu tutakula wapi? Punguza raho mbaya😃