Mwanaume usikosee kuoa mwanamke mnayepishana mwaka mmoja, miwili hadi mitano; hiyo ni time bomb

Jamani Kwa mwanamke ni matunzo tu, anaweza kua 50 na akaonekana kama wa twenties
Mmh wewe ulishawahi kumlala mwanamke wa 50yrs ukasikia ladha yake au wewe unaongea tu unatunza sura na muonekano sio naumbile yake.....
 
Vp kuhusu mahusiano kati ya Manara na Rushayna ,kwani walilingana umri?
 
Acheni penzi huota popote kwa mtu yeyote
Oa yeyote ilimradi anakidhi vigezo vyako acheni woga
 
Tusijisikie burudani na raha kivipi? Kwani kuna mtu alinichagulia? Mnaoa vitoto halafu mkitangulia kufa ndugu zenu waseme mmeuawa na wake zenu? Unaoa kitoto kina miaka 17 wewe una miaka 49 unategemea nini hapo?

Badilisha mtazamo huo.
Kwa hiyo unataka wazee kama sisi, tuoe vibibi siyo! We vipi babu!! Hata sisi pia tunapenda watoto wazuri bhana! Tena wale pasua kichwa wa mwaka 2000.
 
Age is nothing but numbers tusngalie vitu vya msingi kama upendo,kuvumiliana,kuheshimiana n.k
 
Unaumwa wewe c bure.
 
Age is nothing but numbers tusngalie vitu vya msingi kama upendo,kuvumiliana,kuheshimiana n.k
Age ni chanzo au catalyst ya kuondoa upendo na kuvumiliana ndo maana tunasema tuwe makini katika kuchagua, mwanamke mzee sio sahihi kitaka mstakubali wa ndoa yako.
 
Kaka tunaigiziwa sababu hatuwajui, tunawaokota juu kwa ju. Mwanamke wa kula ni lazima ujue alikotoka, achana na biashara za kuamini, ndio maana tuna ektiwa. Mwanamke wa kula lazima umchunguze alikotokea, familia yake na maisha yake. Ndoa sio jambo la mchezo, otherwise tunabahatisha tu kumpata aliyetulia.
 
Dida alikua ana Miaka mingapi?
 
Usitupangie...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…