- Thread starter
- #81
Mmh wewe ulishawahi kumlala mwanamke wa 50yrs ukasikia ladha yake au wewe unaongea tu unatunza sura na muonekano sio naumbile yake.....Jamani Kwa mwanamke ni matunzo tu, anaweza kua 50 na akaonekana kama wa twenties
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh wewe ulishawahi kumlala mwanamke wa 50yrs ukasikia ladha yake au wewe unaongea tu unatunza sura na muonekano sio naumbile yake.....Jamani Kwa mwanamke ni matunzo tu, anaweza kua 50 na akaonekana kama wa twenties
Vp kuhusu mahusiano kati ya Manara na Rushayna ,kwani walilingana umri?Wanaume wengi tunafunikwa na emotions/mihemko ya mapenzi na kukosea kuchagua, huwezi kuoa mtu mnae lingana umri na ukafikiri ndoa hiyo itakuwa na usalama labda kama lengo la ndoa yako ni tofauti na malengo ya ndoa inaojulikana.
Ukiwa na umri wa miaka 50 na mkeo iko 50 unajisikia kama umelala na mama mkwe wako kitandani, mwanamke wakifikia miaka 45 na kuendelea hubadilika kimaumbile na kifkra akili zao huhamia kwenye survival yao na watoto wanakua sexual inactive, hana jipya tena na wivu ndo unaongezeka 'women are too territorial' na age ya 45 to 60 wanaume ndio wameingia climax yao katika conjugal relations.
Madhara ya hayo yote ni dharau kugombana na ndoa kuvunjika, we mwanaume usioe mwanamke mzee kwa usalama wako wa badaye.
Hayo ni mawazo ya Wavulana wasio iwazia kesho Yao. Etii mzeeke pamoja ndo point yake
Kwa hiyo unataka wazee kama sisi, tuoe vibibi siyo! We vipi babu!! Hata sisi pia tunapenda watoto wazuri bhana! Tena wale pasua kichwa wa mwaka 2000.Tusijisikie burudani na raha kivipi? Kwani kuna mtu alinichagulia? Mnaoa vitoto halafu mkitangulia kufa ndugu zenu waseme mmeuawa na wake zenu? Unaoa kitoto kina miaka 17 wewe una miaka 49 unategemea nini hapo?
Badilisha mtazamo huo.
Nimekosa neno mgosi.🤣🤣🤣Kwa hiyo unataka wazee kama sisi, tuoe vibibi siyo! We vipi babu!! Hata sisi pia tunapenda watoto wazuri bhana! Tena wale pasua kichwa wa mwaka 2000.
Kwani hata mkizeeka wote, ukifa mtazikwa wote!Unajua madhara ya kuoa watoto ? Ukizeeka unamuacha😆 Mimi tuzreke wote asee
Age is nothing but numbers tusngalie vitu vya msingi kama upendo,kuvumiliana,kuheshimiana n.kWanaume wengi tunafunikwa na emotions/mihemko ya mapenzi na kukosea kuchagua, huwezi kuoa mtu mnae lingana umri na ukafikiri ndoa hiyo itakuwa na usalama labda kama lengo la ndoa yako ni tofauti na malengo ya ndoa inaojulikana.
Ukiwa na umri wa miaka 50 na mkeo iko 50 unajisikia kama umelala na mama mkwe wako kitandani, mwanamke wakifikia miaka 45 na kuendelea hubadilika kimaumbile na kifkra akili zao huhamia kwenye survival yao na watoto wanakua sexual inactive, hana jipya tena na wivu ndo unaongezeka 'women are too territorial' na age ya 45 to 60 wanaume ndio wameingia climax yao katika conjugal relations.
Madhara ya hayo yote ni dharau kugombana na ndoa kuvunjika, we mwanaume usioe mwanamke mzee kwa usalama wako wa badaye.
Mkuu usiende katika extreme mke wa 17 bado ni mtoto huwezi kumuoa na mtu wa 49, lakini mke 23 kwa 33 sio mbaya hiyo age difference ni supportive, wengi wanaenda kanisani hawataki kutangulizana na wake zao kisa wake zao wamesha kua ma bibi wakati wao bado kabisa........chagua mke unoa mzidi umri kuanzia 5 hadi 10yrs kwa usalama wako wa badaye.
Age ni chanzo au catalyst ya kuondoa upendo na kuvumiliana ndo maana tunasema tuwe makini katika kuchagua, mwanamke mzee sio sahihi kitaka mstakubali wa ndoa yako.Age is nothing but numbers tusngalie vitu vya msingi kama upendo,kuvumiliana,kuheshimiana n.k
Kaka tunaigiziwa sababu hatuwajui, tunawaokota juu kwa ju. Mwanamke wa kula ni lazima ujue alikotoka, achana na biashara za kuamini, ndio maana tuna ektiwa. Mwanamke wa kula lazima umchunguze alikotokea, familia yake na maisha yake. Ndoa sio jambo la mchezo, otherwise tunabahatisha tu kumpata aliyetulia.Sawa sijataja neno mwamPosa hapa,Swala lolote ukitaka upige hatua ni maandalizi na Imani ndipo unatoboa.....
Mungu ndiye anajua yote,Yaani unaweza kaa na mtu akakuigizia maisha Asilimia 100 ukasema sindo huyu ,ila ukimtuaini Mungu anakuonyesha pia hapa hapana au bado mda wako n.k .Mwanadamu usitegemee akili zako mwenyewe
Dida alikua ana Miaka mingapi?Wanaume wengi tunafunikwa na emotions/mihemko ya mapenzi na kukosea kuchagua, huwezi kuoa mtu mnae lingana umri na ukafikiri ndoa hiyo itakuwa na usalama labda kama lengo la ndoa yako ni tofauti na malengo ya ndoa inaojulikana.
Ukiwa na umri wa miaka 50 na mkeo iko 50 unajisikia kama umelala na mama mkwe wako kitandani, mwanamke wakifikia miaka 45 na kuendelea hubadilika kimaumbile na kifkra akili zao huhamia kwenye survival yao na watoto wanakua sexual inactive, hana jipya tena na wivu ndo unaongezeka 'women are too territorial' na age ya 45 to 60 wanaume ndio wameingia climax yao katika conjugal relations.
Madhara ya hayo yote ni dharau kugombana na ndoa kuvunjika, we mwanaume usioe mwanamke mzee kwa usalama wako wa badaye.
Usitupangie...Wanaume wengi tunafunikwa na emotions/mihemko ya mapenzi na kukosea kuchagua, huwezi kuoa mtu mnae lingana umri na ukafikiri ndoa hiyo itakuwa na usalama labda kama lengo la ndoa yako ni tofauti na malengo ya ndoa inaojulikana.
Ukiwa na umri wa miaka 50 na mkeo iko 50 unajisikia kama umelala na mama mkwe wako kitandani, mwanamke wakifikia miaka 45 na kuendelea hubadilika kimaumbile na kifkra akili zao huhamia kwenye survival yao na watoto wanakua sexual inactive, hana jipya tena na wivu ndo unaongezeka 'women are too territorial' na age ya 45 to 60 wanaume ndio wameingia climax yao katika conjugal relations.
Madhara ya hayo yote ni dharau kugombana na ndoa kuvunjika, we mwanaume usioe mwanamke mzee kwa usalama wako wa badaye.
Miaka 42, sasa angalia Ex wake wote walikua na umri gani ndo ujue kwamba umri kwa mwanamke ni muhimu sanaa.Dida alikua ana Miaka mingapi?
Nature doesn't lie.......usijidanganye mkuu.Usitupangie...