Mwanaume wa kiarabu mwenye silaha aua raia wawili wa Sweden mjini Brussels, Ubelgiji

Poleni wakubwa. Ila punguzeni kushadidia unyanyasaji wa jamii dhwaifu kama za wapalestina
Dini imehusikaje na Palestine?
Palestine imehusikaje na sisi?

Palestine imehusikaje na Sweden Hadi huyo mtu ameua watu hovyo?

Juzi tarehe 7, Alieanzisha Vita vya Gaza na kuteka wanawake na watoto wa Kiyahudi ni Nani? Ni Myahudi au Mpalestina?

Huwa sielewi uwezo wenu wa kufikiri unazuiliwa na nini? Mnakuwa kama watoto bhana?
 
Check post #2 ya bwana Maghayo
 
Nenda tena ukakae tena utafakari.
 
Lugha kama hii ndo inayowaponza. Si jambo jema sana kutweza itikadi za watu wengine
Mie ni mkatoliki,nimefundishwa kuheshimu dini za wengine,na hili linalofanyika Palestina,mie ninapinga kbs,halifai halifai na halikubaliki kbs, wapalestina wanafanyiwa undamaged na uhalifu mkubwa ambao binadamu hastahili kbs kufanyiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…