Dini imehusikaje na Palestine?
Palestine imehusikaje na sisi?
Palestine imehusikaje na Sweden Hadi huyo mtu ameua watu hovyo?
Juzi tarehe 7, Alieanzisha Vita vya Gaza na kuteka wanawake na watoto wa Kiyahudi ni Nani? Ni Myahudi au Mpalestina?
Huwa sielewi uwezo wenu wa kufikiri unazuiliwa na nini? Mnakuwa kama watoto bhana?
M palestina, majority ni Arabs,na Muslims,
Israel ni jews, na pro Christianity, judeo Christians, UK, USA wanawasuport Israel, USA, hata kwenye katiba Yao, ni judeo Christians,
Sasa m palestina(ambaye ni arab+islam), ameshambuliwa na Israel, anayeungwa mkono na USA, UK(ambao ni christians nations),
Hapo sense ya dini ndio inapoingia, sasa Muslim popote duniani, anaona wa islam wenzie wanateswa, atatafuta chochote chenye asili ya Magharibi, awe mzungu,biashara ya mzungu, aishambulie,