India mnapigana na Wahindu na kuchinjana
Sudan, Somalia mnapigana wenyewe kwa wenyewe
Afrika ya Kati mnapigana na Wakristo. Mkijiita Seleka.
Nigeria mnaua wasio wa dini yenu kila kukicha.
China mnapigana na Wabudha
Tanzania mnalipua lipua ofisi za ubalozi na fujo za maeneo yenu ya Kibiti, Mkuranga, Rufiji, Tanga, Tindikali Zanzibar, kuchoma mabucha ya Nguruwe nk.
Kenya wanafunzi wa chuo cha Garisa waliambiwa wasome Surat Fatiha wakishindwa wanapigwa risasi.
Bila kuwa na hatia yoyote.
Irani mwanamke asipovaa Hijabu anauliwa.
Duniani kote mnajilipua mabomu na kuuwa watu
Nk.
Hivi mkitulia na kujitafakari hamuoni Kuna shida mahali kwenye hiyo Imani?
Au hamfanyagi tathmini yoyote kuhusu maisha ya Dini yenu?
Shida hasa ninini ?
Hebu tupe Somo Ustadh
Nipo nakusubiri.
Au hao wote ni Mazayuni ? Yaani Waisraeli...!
Au ndio kutimiza Aya,
"Asiyetaka Dini ya Kiislamu Haitakubalika Kwake"