Mwanaume wa kiarabu mwenye silaha aua raia wawili wa Sweden mjini Brussels, Ubelgiji

Mwanaume wa kiarabu mwenye silaha aua raia wawili wa Sweden mjini Brussels, Ubelgiji

_20231017_191721.JPG
 
Inasikitisha sana,the hate you create ndio matokeo yake haya.
Hapana kijana dunia in watu wa aina nyingi na mihemuko tofauti marekani hadi leo wazungu tena polisi wanaua weusi makusudi kila siku , sema akifanya muarabu inakuwa amplified kutokana na mvutano baina ya mzungu na muarabu , mzungu anamdemonize muarabu makusudi ili apate sababu ya kudestabilize kila siku, haya makundi ya isis kayatengeneza na anayafadhili mwenyewe mzungu , wale waliokuwa wanampinga gadafi utajiuliza wametokea wapi na nani aliwapa silaha, congo utajiuliza hawa mgambo miaka yote hii nani anawapa silaha na kuwalip hadi wanalishinda jeshi la congo , dunia ni very complex unatakiwa ufikirie sana ndio utajua ukweli
 
Back
Top Bottom