Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba anawezwa, ujuwe🤣🤣🤣Utaniweza mie🤭
Kubali ukatae,haijalishi walikufanyia nn kibaya.....lakini wanaume wa kisukuma ni wanaume Bora,Wana utu.....kitu ambacho hawajajaaliwa kabisa ni dharau na kitu walichojaaliwa kabisa ni upendo wa kweli.Hivyo kwako mwanamke mwenzangu ukimpata mwanaume wa kisukuma ana pesa nenepa,mpende na usimsaliti Kwa viserengeti vitaka kulelewa....na ukimpata hana pesa mvumilie coz are fighters na mtunzane.
Wanawake wenzangu tuendelee kumwomba Mungu tuingie Pepo tukiwa tumeshikana mikono na waume zetu.
NB;Sijamaanisha nimepata msukuma.
Cc: Bujibuji Simba Nyamaume
Sio upendo tu, hata kitandani hawajambo.Kubali ukatae,haijalishi walikufanyia nn kibaya.....lakini wanaume wa kisukuma ni wanaume Bora,Wana utu.....kitu ambacho hawajajaaliwa kabisa ni dharau na kitu walichojaaliwa kabisa ni upendo wa kweli.Hivyo kwako mwanamke mwenzangu ukimpata mwanaume wa kisukuma ana pesa nenepa,mpende na usimsaliti Kwa viserengeti vitaka kulelewa....na ukimpata hana pesa mvumilie coz are fighters na mtunzane.
Wanawake wenzangu tuendelee kumwomba Mungu tuingie Pepo tukiwa tumeshikana mikono na waume zetu.
NB;Sijamaanisha nimepata msukuma.
Cc: Bujibuji Simba Nyamaume
🤣🤣🤣🤣🤣 Kwani we msukuma!?Mwanzo umeanza vizuri ila mstari wa mwisho chumvi ikazidi kidogo!!
Bonge la comment [emoji4]Mwanamke mjanja yoyote yule anapenda mwanaume boya ili amtawale na kumuendesha.na sisi wanyakyusa tumestuta labda kama kuna kabila lingine wataweza uo mchezo
Kheee..!! umejuwaje bwana Bill ?Sio upendo tu, hata kitandani hawajambo.
Nzugu lulu nagutogagwa🤣🤣🤣😂
Jirani, ebu uje chemba chapKwa wasukuma wanawake ni binadamu wa daraja la mwisho.
Hata hivyo wanajua kutunza sana, na wanajua kwanini waliumbwa wanaume.
😳Wengi wamesema😂😂😂 huwajui vizuri, Sema tu they are ideal kwetu sie single mothers, huwa wanaoa tu hawajali Una watoto wangapi, tena uwe mweupe sasa😂😂😂 Ila kukimbia na kukutelekeza ni dakika sifuri tu, kuletewa watoto WA nje ni kawaida sana.
Ghetegete bhasukuma ben'gwe 😅🤣🤣🤣🤣🤭