Mwanaume wa kisukuma ni bora zaidi…

Mwanaume wa kisukuma ni bora zaidi…

Kubali ukatae,haijalishi walikufanyia nn kibaya.....lakini wanaume wa kisukuma ni wanaume Bora,Wana utu.....kitu ambacho hawajajaaliwa kabisa ni dharau na kitu walichojaaliwa kabisa ni upendo wa kweli.Hivyo kwako mwanamke mwenzangu ukimpata mwanaume wa kisukuma ana pesa nenepa,mpende na usimsaliti Kwa viserengeti vitaka kulelewa....na ukimpata hana pesa mvumilie coz are fighters na mtunzane.

Wanawake wenzangu tuendelee kumwomba Mungu tuingie Pepo tukiwa tumeshikana mikono na waume zetu.
NB;Sijamaanisha nimepata msukuma.

Cc: Bujibuji Simba Nyamaume

Hatimae tumefikiwa woiii [emoji23][emoji23][emoji23] lilikuwa swala la muda tu
 
Kubali ukatae,haijalishi walikufanyia nn kibaya.....lakini wanaume wa kisukuma ni wanaume Bora,Wana utu.....kitu ambacho hawajajaaliwa kabisa ni dharau na kitu walichojaaliwa kabisa ni upendo wa kweli.Hivyo kwako mwanamke mwenzangu ukimpata mwanaume wa kisukuma ana pesa nenepa,mpende na usimsaliti Kwa viserengeti vitaka kulelewa....na ukimpata hana pesa mvumilie coz are fighters na mtunzane.

Wanawake wenzangu tuendelee kumwomba Mungu tuingie Pepo tukiwa tumeshikana mikono na waume zetu.
NB;Sijamaanisha nimepata msukuma.

Cc: Bujibuji Simba Nyamaume
Sio upendo tu, hata kitandani hawajambo.

Nzugu lulu nagutogagwa🤣🤣🤣😂
 
😂😂😂 huwajui vizuri, Sema tu they are ideal kwetu sie single mothers, huwa wanaoa tu hawajali Una watoto wangapi, tena uwe mweupe sasa😂😂😂 Ila kukimbia na kukutelekeza ni dakika sifuri tu, kuletewa watoto WA nje ni kawaida sana.
 
Dah Kama mama Janeth amenenepa akiwa mjane basi kweli wanaume wakisukuma mnaupendo haswa!!!..., Wanawake ndio viumbe ambao Leo anasifia hiki kesho anakiponda. Jikono jandama shitombile😅
 
🤣🤣🤣🤣🤭
 
  • Kicheko
Reactions: Exy
😂😂😂 huwajui vizuri, Sema tu they are ideal kwetu sie single mothers, huwa wanaoa tu hawajali Una watoto wangapi, tena uwe mweupe sasa😂😂😂 Ila kukimbia na kukutelekeza ni dakika sifuri tu, kuletewa watoto WA nje ni kawaida sana.
😳Wengi wamesema
 
Back
Top Bottom