Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo mtutaarifu tuwaandalie chakula mnachokipenda. Sio kuja kimya kimya.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Bali ni fair play.Vijana wa miaka ya 1950+ walikuwa wanafikia kwanza kwenye bao halafu anaitwa mtoto anatumwa apeleke mfuko wenye mazaga zaga nyumbani jamaa hapo atakaa karibia lisaa kisha ndo ataenda kwake.
N.b
Si kwamba anapenda sana bao la hasha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Bali ni fair play.Vijana wa miaka ya 1950+ walikuwa wanafikia kwanza kwenye bao halafu anaitwa mtoto anatumwa apeleke mfuko wenye mazaga zaga nyumbani jamaa hapo atakaa karibia lisaa kisha ndo ataenda kwake.
N.b
Si kwamba anapenda sana bao la hasha
Sasa kuna magonjwa mkuu ,wengne tuna wivu sio kwa sababu tunawapenda sna , nikwa sababu tunapenda afya zetu .Vijana wa miaka ya 1950+ walikuwa wanafikia kwanza kwenye bao halafu anaitwa mtoto anatumwa apeleke mfuko wenye mazaga zaga nyumbani jamaa hapo atakaa karibia lisaa kisha ndo ataenda kwake.
N.b
Si kwamba anapenda sana bao la hasha
Ndiyo maana wazee wetu zamani ilikuwa akitoka safari (au hata mjini tu!) akikaribia nyumbani ama anatuma mtu apeleke mzigo alionao au anaanza kuimba ili nyumbani mjue kuwa mzee karudi. Ilikuwa na maana yake kubwa sana!
Mkuu mimi sisapoti waliyokuwa wanafanya babu zetu ni ujinga wa hali ya juu yaani kwako mpaka utoe taarifa ?Sasa kuna magonjwa mkuu ,wengne tuna wivu sio kwa sababu tunawapenda sna , nikwa sababu tunapenda afya zetu .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vijana wa miaka ya 1950+ walikuwa wanafikia kwanza kwenye bao halafu anaitwa mtoto anatumwa apeleke mfuko wenye mazaga zaga nyumbani jamaa hapo atakaa karibia lisaa kisha ndo ataenda kwake.
N.b
Si kwamba anapenda sana bao la hasha
Alafu naona umeweka link ya mambo zake... kwenye wake na ndoa...😀😀😀😀😀😀😀😀