Ujinga wao ndio ulisababisha ndoa zao zidumu na kutokuwepo na watoto wa mitaani wengi ingawaje walikuwepo lakini sio wengi kama sasa ambapo kila kukicha ndoa zinavunjika.Mkuu mimi sisapoti waliyokuwa wanafanya babu zetu ni ujinga wa hali ya juu yaani kwako mpaka utoe taarifa ?