Ujinga wao ndio ulisababisha ndoa zao zidumu na kutokuwepo na watoto wa mitaani wengi ingawaje walikuwepo lakini sio wengi kama sasa ambapo kila kukicha ndoa zinavunjika.Mkuu mimi sisapoti waliyokuwa wanafanya babu zetu ni ujinga wa hali ya juu yaani kwako mpaka utoe taarifa ?
Kwanza usitufokee na usitupangie namna ya kuendesha ndoa zetu. Ukimtaarifu wa kwako inatoshaMuwe mnawataarifu wake zenu mkiwa mnarudi kutoka safari inasaidia kuokoa ndoa .
Dadeq, mara umebamba yupo kichochoroniNa hizo ndio purukushani na raha za Pingu za Maisha,,,hakuna kutulia,,,,utulie umekuwa au amekuwa Stuli!!!
Mkuu kiukweli mimi ni bora ndoa ivunjike kuliko kuiga mfumo wao immagine unakuta hapo mtaani mzee fulani ana mtoto kwenye familia ya fulani na wote wanajua ila unakuta wamesha solve chini kwa chini jamaa kapigwa fine na mtoto hupati analelewa katika familia ya Mume halali ila akikua sasa unaweza kumuona na akaamua yeye sasa .Ujinga wao ndio ulisababisha ndoa zao zidumu na kutokuwepo na watoto wa mitaani wengi ingawaje walikuwepo lakini sio wengi kama sasa ambapo kila kukicha ndoa zinavunjika.
Kwa sasa ni kweli watu hatuna uvumilivu waliokuwa nao wazee wetu wa zamani hilo silipingiMkuu kiukweli mimi ni bora ndoa ivunjike kuliko kuiga mfumo wao immagine unakuta hapo mtaani mzee fulani ana mtoto kwenye familia ya fulani na wote wanajua ila unakuta wamesha solve chini kwa chini jamaa kapigwa fine na mtoto hupati analelewa katika familia ya Mume halali ila akikua sasa unaweza kumuona na akaamua yeye sasa .
Kwa sasa mioyo yetu imekuwa myepesi mnoo hakuna atakayeweza kuvumiliwa kuchapiwa eti akabaki kimya msolve kimya kimya au eti nikitaka kurudi kwangu nitoe taaarifa .