Mwandishi Ansbert Ngurumo apewa hifadhi kwa usalama wake nchini Finland

Huyo kaenda tu kutafuta maisha baada ya kutokuwa na kazi ya kufanya hapa Tanzania,akatafuta njia ya kupata hifadhi kwa kujifanya yeye anatafutwa na serikali.Ngurumo ana kipi cha maana ,wao huchokoza serikali halafu hukimbia na hilo ni fundisho kwa akina mimi je na nyie mtakuwa na uwezo wa kukimbilia nje kama akina Ngurumo,huyu sio mwandishi wa habari bali ni mwanasiasa wa Chadema na waandishi hawa kazi yao kubwa ni kufanya kampeni za kuichafua nchi ili kuwafurahisha mabwana zao wanaowapa hifadhi za muda,shame to them.
 
Tusipopaza sauti zetu kama watanzania kwa pamoja kukemea huu utawala wa kiimla, hakuna atakayebaki Salama.

Mwandishi Ngurumo silaha yako ni kalamu. Ni silaha HATARI zaidi kuliko silaha yoyote ile kuwahi kutokea.

Tunaomba undeleze uzalendo wako huko ulipo. Andika makala, habari, ikiwa hata kuchapisha vitabu kuhusu yanayoendelea nyumbani Tz ili ulimwengu mzima upate kujua nje ndani ya utawala huu wa mfalme Nebukadreza.
 
Kuwa mkimbizi mnaipigia filimbi kama vile ni wa kwanza duniani.. eeeeeh

Uamuzi wake huo.. alitaka tu kwenda ulaya kuishi huko baada ya kuwa mvivu kufanya kazi kujilisha
Fala sana wewe, Ngurumo amesoma Uingereza, angekuwa na matamanio hayo angezamia Uingereza akiwa na student viza ambayo ndio viza rahisi kuishi Uingereza muda mrefu.

Hujui kitu kaa kimya.
 
Definition ya ukimbizi inaeleweka vizuri au...tunaandika tu ukimbizi.
Still Tanzania is the best place to live ever seen
Wewe kada wa Lumumba unajifanya hujui kinachoendelea Tanzania??

Hivi katika mazingira kama haya ya kunyanyswa wapinzani hususani kutoka chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema, bado unaweza kudiriki kuiita Tanzania kuwa the best place in the world to live??

Ama kweli ukiwa mshabiki wa CCM basi akili zako unaziweka rehani pale mtaa wa Lumumba!
 
Hadhi gani weweeee ukimbizi mbona wengi tu wanapewa...KACHEMSHA HUYO atajuta hakujipanga eti kaenda finland kuna nini huko hata kazi ya kufagia sio rahisi kupata mpaka awe na diploma ya lugha ukimbizi ataambulia kupewa pesa za kula tena kwa masharti ya kwenda kusoma lugha kama darasa la kwanza kila siku asipo enda siku moja pesa inakatwa..pesa zenyewe hazi toshi hata mahitaji ya mtu moja..hali ya hewa ndio hiyo hakuna deal lolote huko...kwanini akimbilie finland mbona kama kweli ni mkimbizi wa kweli si angeenda uingereza ambapo haki za binadamu zilipo anzia ..mama na baba wa haki za binadamu yuko uingereza. Hakuweza kwenda huko akijua uingereza isinge sikiliza ujinga kama huo..atupe mrejesho baada ya mwaka maisha yakoje huko na anafanya nini....wakimbizi wa kawaida wenyewe hawaendi huko unless umeshindwa kabisa kupata ukimbizi kwingine ndio unaamua kujipeana huko lakini wengi wao hukimbia tena na kwenda nchi jirani kama Sweden..Norway na bado wanatamani wangekuwa uingereza hahahahaaaaas
 
Ndio ataenda kujua kwanini ile nchi ina population ya watu 5.5 milion tu...
 
Fala sana wewe, Ngurumo amesoma Uingereza, angekuwa na matamanio hayo angezamia Uingereza akiwa na student viza ambayo ndio viza rahisi kuishi Uingereza muda mrefu.

Hujui kitu kaa kimya.

Mbona unaniandikia lugha chafu

Kusoma uingereza ndio unaona dili.. ingekuwa dili na hayo yote leo mbona kawa mkimbizi wa uchumi!!!! Yaani yeye ni kati ya wale waliopoteza muda basi huko.. hata exposure hakupata kabisaaaa huko.. kwa ulichokiandika bure kabisa.. eti angezamia ha ha haaaa.. si angekosa pesa za bure.. Huyo mkimbizi huko analipwa pesa ya kula lazima.. ni mvivu.. kufungiwa gazeti kaenda kudanganya.. Eeeeeh kweli wewe ni kichwa tupu sana.. maneno yangu yamekuchoma hadi unakomaaa na kulia ha ha haaaa.. Eti kusoma unaringia... eeeeh si bora mara mia ungeandika alizaliwa.. ha ha haaaaaa.. Unajua kuna watu wangapi wamezaliwa huko na wapo nchini TZ.. ambao kubadili hata wakitaka British passport ni sekunde tu na kwenda kuishi huko UK bila visa au kuzamia.. kama akili yako inavyotamani kufanyahuku hata ulipo ujui lolote kuu.. ulipopaandika kama vile ni mbinguni.. bure kabisa wewe.. wakili hewa wa chini ya miti unayepata wateja wanao tukanana mitandaoni bila hata kushitakiana... refa tu wewe wa wadaku na wenye kuoneana wivu
 
Wanadhani watanzania wa leo wanababaishwa na ulaghai wa jumuiya za kimataifa



Tanzania imegeuka Haiti na Magufuli amekuwa Papa Doc wetu

Death comes easy in Tanzania
 
Asylum zinatolewa kila siku kwenye hizo nchi na Amerika, hakuna cha ajabu

Nawajua watu ambao wamepewa asylum kwa sababu za ajabu ajabu na kutoa documents zote fake kusapoti madai yao.
 

Ulishatoa pesa za mchango wa mafuta ya mwenge hapo Lumumba??
 
Huyo amekwenda kufuata hali bora ya maisha,ni mkimbizi wa kiuchumi tu.
Miaka ya nyuma wapemba walikua wanajilipua uk eti kwao wanawindwa na kuuwawa,mpaka serika ya uk imekuja kustuka kuwa hao ni wazamiaje wengi walishapata makaratasi,ingawa walituchafua sana
 
Asylum zinatolewa kila siku kwenye hizo nchi na Amerika, hakuna cha ajabu

Nawajua watu ambao wamepewa asylum kwa sababu za ajabu ajabu na kutoa documents zote fake kusapoti madai yao.
Mmoja wao ni wewe nini??
 
Le Mutuz ndio alikuwa mkimbizi wa uchumi Marekani, soma vizuri asylum ya Ngurumo ni ya nini.

Nilisema hujui kitu kaa kimya, endelea kuonesha umbumbumbu wako hadharani.

Hata mjinga akinyamaza uhesabiwa hekima.
 

Wacha kuchafua hali ya hewa , Mzigo wa mwenzako kwako unaona ni ganda la usufi??
Wapemba wamevamiwa na Tanganyika toka 1964, Tanganyika chini ya Laanatullahi Nyerere iliivamia Zanzibar na kumkamata Waziri Mkuu wake Muhammed Shamte Mpemba aliyechaguliwa na wananchi pamoja na mawaziri wake na kuwafunga katika magereza ya Tanganyika bila kuwafikisha mahakamani kabla hata huo uitwao Muungano haujafikiriwa. Wazanzibari wanakimbia mateso ya serikali ya CCM wengine wamekimbilia Somalia. Jee tukuamini kuwa Somalia hali yao ya uchumi ni nzuri kuliko Tanzania??
 
Mmoja wao ni wewe nini??
Inawezekana.

2010 Kuna jamaa alipewa asylum USA kwa kudai yeye ni CCM anatishiwa maisha na chadema. Ndiyo, alidai yeye ni CCM anatishiwa maisha na chadema na akashinda asylum.

Kupewa asylum hizi nchi sio jambo la ajabu esp kutoka kwenye hizi nchi zetu ambazo unaweza fake hata sahihi ya Rais na wao wasishtuke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…