Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
- Thread starter
-
- #61
Ndio maana ukishakua muumini wa hiyo dini wanachofanya kwanza ni kuku-brain wash na kukupa ahadi za mbinguni na kukuondoa akili yako ya kawaida na kukujaza ujinga wa mabikra 72, sijui mito ya pombe, wanawake wazuri wenye makalio nk.Wasivyokuwa na akili wanazidi kuthibitisha alichokiandika huyo victim kwamba kipo,how kuuwa mtu kisa amekashifu dini sijui kitabu then unapata faida gani?
Hamna dini humo ni kikundi cha wahuni tu.
Dini ya visas kivipi? Mama yako amekuzaa hajakuumba akitukanwa mbele yako utakaa kimya una angalia Mwamba? Ktk uislam Mungu ana thaman kuliko kitu chochote kile..Tuje kwa kipenzi chako mkeo akitukanwa utakaa tu ukiangalia? Just think of it Mungu ni zaidi ya vyote hivi... your health wealth its him who is in control ....don't let the breath deceive you.Dini ya visasi...
Mungu angekua mkali kama watu wale...hakuna mwanadamu angetoboa
Ukishakua muumini wa hii dini na reasoning inaondoka kabisa.Dini inayochochea mauaji
Mi sioni ajabu dini Ile ilijengwa katika msingi ya kushurutishwa uikiri au ufe kwa upanga.
Pole kwake kawachokoza jamaa wenye munkari.
Mama yangu namuona, wewe huyo allah umewahi kumuona hadi umpiganie? Alikutuma umpiganie? Amekwambia hana nguvu hadi wewe ukapigane kwa ajili yake?Dini ya visas kivipi? Mama yako amekuzaa hajakuumba akitukanwa mbele yako utakaa kimya una angalia Mwamba? Ktk uislam Mungu ana thaman kuliko kitu chochote kile..Tuje kwa kipenzi chako mkeo akitukanwa utakaa tu ukiangalia? Just think of it Mungu ni zaidi ya vyote hivi... your health wealth its him who is in control ....don't let the breath deceive you.
So what?Mwandishi maarufu wa vitabu Salman Rushdie ameshambuliwa kwa kuchomwa shingoni hivi leo akiwa katika ukumbi mmoja huko New York, Marekani.
Ikumbukwe kuwa mwaka 1989 alitoa kitabu chake kimoja cha 'Satanic Verses' kilichowakera sana waumini wa dini ya Kiislamu hadi ikapelekea nchi ya Iran kukipiga marufuku. Pia mwandishi huyo alisomewa Fatwa na kiongozi wa Iran Ayatollah Khomeini iliyotaka maandishi huyo auawe.
Sikia wewe Dini uwezi kuifananisha na mtu au kitu dini ndio muongozo halisi wa binadamu iashije uyo mama unayemsema na yeye anafuata iyo dini unaweza kumkana mama yako mzazi au baba lakini siyo diniDini sio kama mama yako wewe shoga. Dini unaweza kuamua kuiacha ama kuifuata ila mama yako huwezi kumkataa kwamba sio mama yako. Hata ukimkataa bado haiondoi uhalisia kua sio mama yako.
Ukishakua mfuasi wa hii dini na akili unapoteza kabisa?
Mkuu mbona umeshikilia sana hayo matusi?Al
Wewe punga alichokifanya mwenzako huko New York ndio kupinga uchafu? Huyo ala wenu na nyie wafuasi wake wote zero brain, mnashikishwa ukuta.
Kijana inaonekana dini ya kiislamu inakuhumiza kichwa sana nachokuomba ukitambue ni kuwa walishakuja watu kibao zaid yako walifanya kama unavyofanya wewe tena zaidi yako lakini leo hii hawapo na uislamu upo na utaendelea kuwepo mpaka pale atakapo mwenyewe aliyeuletaNdio maana ukishakua muumini wa hiyo dini wanachofanya kwanza ni kuku-brain wash na kukupa ahadi za kitaahira za mbinguni na kukuondoa akili yako ya kawaida na kukujaza ujinga wa mabikra 72, sijui mito ya pombe, wnaawake wazuri wenye makalio nk.
Mbaya zaidi unaweza kukuta mtu msoni kabisa amewnda shule na unafikiri anaweza ku-reason na ku-argue na kutumia logic ila anaenda kua brainwashed na wajinga ambao hawakwenda shule wamekariri kiarabu na mambo kama hayo. Ni mambo ya ajabu sana.
“.................... kama yeye ni Mungu, na ajitetee nafsi yake, kwa sababu mtu mmoja ameibomoa madhabahu yake.”Mama yangu namuona, wewe huyo allah umewahi kumuona hadi umpiganie? Alikutuma umpiganie? Amekwambia hana nguvu hadi wewe ukapigane kwa ajili yake?
Yaani hata reasoning ndogo kama hiyo waumini wa dini inawashinda? Sasa kama unasema allah amekuumba maana yake ana nguvu na uwezo mkubwa wa kufanya kila anachotaka kwa binadamu, sasa kama ametukanwa kwa nini yeye mwenyewe asishughulike na aliemtukana, ama uwezo hana ana hajui kama ametukanwa? Wewe unampigania kama nani yake, mke wake ama nani yake?
Wengine dini yao inachezewa kila siku na wako kimyaSo what?
Nakukumbusha tu uyo unayemtukana ndiye anayekupa riziki wewe unachokula,kunywa yeye ndiye anayeamua nguvu ulizonazo za kutukana ni kwa rehema zake yeye siku atakapochukua izo rehema alizokupa ndio utajua gadhabu yakeAl
Wewe punga alichokifanya mwenzako huko New York ndio kupinga uchafu? Huyo ala wenu na nyie wafuasi wake wote zero brain, mnashikishwa ukuta.
Najitahidi mkuu.Ndugu yangu katika imani punguza munkari watu kama awa usijibishane nao kwa gadhabu ..muache atukane wewe jibu vile kama alivyotuelekeza mtume wetu muhamad s.a.w
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama yangu namuona, wewe huyo allah umewahi kumuona hadi umpiganie? Alikutuma umpiganie? Amekwambia hana nguvu hadi wewe ukapigane kwa ajili yake?
Yaani hata reasoning ndogo kama hiyo waumini wa dini inawashinda? Sasa kama unasema allah amekuumba maana yake ana nguvu na uwezo mkubwa wa kufanya kila anachotaka kwa binadamu, sasa kama ametukanwa kwa nini yeye mwenyewe asishughulike na aliemtukana, ama uwezo hana ana hajui kama ametukanwa? Wewe unampigania kama nani yake, mke wake ama nani yake
Ila akitukanwa kiongozi wako wa kisiasa Magufuli au Lipumba hapo utapambana mbona husemi waje wajigombanie na jeshi wanalo..tuache waislam tuamini na kumpenda Allah .huwezu kumkebehi tukakuwacha.Mama yangu namuona, wewe huyo allah umewahi kumuona hadi umpiganie? Alikutuma umpiganie? Amekwambia hana nguvu hadi wewe ukapigane kwa ajili yake?
Yaani hata reasoning ndogo kama hiyo waumini wa dini inawashinda? Sasa kama unasema allah amekuumba maana yake ana nguvu na uwezo mkubwa wa kufanya kila anachotaka kwa binadamu, sasa kama ametukanwa kwa nini yeye mwenyewe asishughulike na aliemtukana, ama uwezo hana ana hajui kama ametukanwa? Wewe unampigania kama nani yake, mke wake ama nani yake?
Utakua humjui Musa na tauratiKwa nini wasiache Mungu mwenyewe ndiye amuhukumu kwa nini wamuhukumu wao kama kweli aliyekosewa ni mwenyezi Mungu.
Kuna imani zingine zina matatizo sana. Huwezi kujichukulia sheria mkononi kumwadhibu mtu kwa kudai kwamba eti amekufuru. This is very stupid.
Unahubiri injili..kwa nini asihubiri mwenyewe huko juu tusikie huku chini!?Haya ni majinga Sana! Unampigania Mungu, yeye hana uwezo?
Kitu personal ?!Hiyo ndio maana ya heshima ni kitu cha bure.
Dini kwa wengi ni kitu personal sana ukiitukana ni kama umemtukana yeye, mama yake, mwanae au mkewe.
Mkuu mimi nikikutukania mama yako tusi zito utakubali nitembee kifua mbele kwamba mimi ni mbabe kisa tu Mungu ameniruhusu kuishi?
Fikiria hilo swali kwa makini.