Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

Hayo matusi ulijifunzia wapi? Hivi huwezi kumwambia ukweli aliyekuudhi kwa lugha ya staha mpaka utumie matusi? Ni Mungu yupi atakayeridhia hayo matusi!! Ni dini gani inayoridhia matusi?
Ngoja kwanza.

Kwani nani kaanza kumtukana mwenzake hapa?
Kuna mtu amepigwa lakini baadae akalipiza kipigo kwa aliyempiga lakini badala ya kwenda kumshitaki wa kwanza kupiga unaenda kuhukumu aliyepigwa?

Kwa akili yako ya kawaida unaona hiyo kauli yako inamake any sense?
Kuhusu Mungu kuridhia au kutoridhia matusi hayo ilibidi ayajue alieanza kutukana, mimi ninichokifanya ni kuadapt.
Nikikwambia wewe ni Hypocrite utaweza kupinga?
 
Mkuu umefurahishwa na kifo cha huyo mwandishi?

Fatwaa ni diffencive mechanism ya dini yako kila inapokosolewa?



Tumia elimu yako vizuri
 
Hebu acha upumbavu mkuu.
Unajua maana ya "respect."

Dini ni kitu personal kama mzazi, au wewe utakubali nikutukanie mama yako?
Hii comment inaonesha either hauna akili au ni mjinga, au vyote kwa pamoja.
Respect wakati misikitini mnatukana imani nyingine?huu nao ni usheitwani.Au ndio miujiza yenu hiyo?huwezi kuta Kanisani eti wanaongelea uislam,uoga una ibilisi ndani yake.
 
Kwa nini mnahubiri dini,huyo mungu ni bubu,au ana sauti ndogo!?..si ahubiri mwenyewe huko aliko huku tusikie!!
 
Mungu ambaye hayupo? Aliyetungwa kichwani mwa Muhammad?
 
Ila akitukanwa kiongozi wako wa kisiasa Magufuli au Lipumba hapo utapambana mbona husemi waje wajigombanie na jeshi wanalo..tuache waislam tuamini na kumpenda Allah .huwezu kumkebehi tukakuwacha.
Hawa nawaona, inawezekana hawana nguvu za kujipambania ana kujipigania, sasa wewe allah uwewahi kumuona ama amewahi kukutuma umpiganie?
 
Mkuu umefurahishwa na kifo cha huyo mwandishi?

Fatwaa ni diffencive mechanism ya dini yako kila inapokosolewa?



Tumia elimu yako vizuri
Sijafurahishwa isipokuwa sijali sababu it doesn't matter to me, unapofanya makosa basi tegemea consequences.
Nisichofurahishwa ni yeye kukashifu imani za watu.
 
Riziki anakupatia wewe sio mimi. Mimi najipatia riziki yangu kwa kufanya kazi na kutumia nguvu zangu.

Ulikutana nae akakwambia ananipatia mimi riziki?
 
Umesahau kuwakumbusha watu kuheshimu imani za watu wengine. Kama mtu akitukaniwa mama yake anapandwa hasira aweze kuua bila kumsubiri mama yake aliyetukanwa kaamua nn iwaje akitukaniwa mungu wake asipatwe hasira?
 
Ila akitukanwa kiongozi wako wa kisiasa Magufuli au Lipumba hapo utapambana mbona husemi waje wajigombanie na jeshi wanalo..tuache waislam tuamini na kumpenda Allah .huwezu kumkebehi tukakuwacha.
[emoji23]allah bhana!
 
Umesahau kuwakumbusha watu kuheshimu imani za watu wengine. Kama mtu akitukaniwa mama yake anapandwa hasira aweze kuua iwaje akitukaniwa mungu wake asipatwe hasira?
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mama na mungu. Mama namuona, I feel her pain, naona hisia zake naona akiumia pale anapotendewa mabaya na mtu mwingine.

Sasa allah umewahi kumuona ama amewahi kukuomba ukampiganie kwamba watu wanamtukana? Amewahi kukwambia kua akitukanwa anaumia? Sasa unampiganiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…