STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Mbona unawasapoti magaidi wa Nato??Yeah siwezi sapoti magaidi
Hizo chuki zote za kidini wala hamna kingine,kila mtu anavutia kwakeUkisoma Comment za Watu humu utajuwa ni jinsi gani watu walivyo na Chuki
Hao siyo magaidi bali wanakomesha na kuteketeza makundi yote ya kigaidi ya Waislam na wale wanowapa ufadhiliMbona unawasapoti magaidi wa Nato??
Kuripoti watu wanarushiana mabomu siyo mchezo. R.I.PView attachment 2220280
Mwandishi wa habari Shireen Abu Akleh enzi za uhai wake
Mwandishi wa habari wa Al Jazeera Shireen Abu Akleh (51) ameuawa kwa kupigwa risasi ya kichwa akiwa katika majukumu yake ya kazi wakati akifuatilia uvamizi wa Jeshi la Israel kwenye kambi ya wakimbizi ya Jenin.
Wizara ya Afya ya Palestina imesema Bi. Akleh alipigwa risasi ya kichwa huko Jenin, na kufariki muda mfupi baadaye.
Al Jazeera imevishutumu vikosi vya usalama vya Israel kwa kumlenga na kumuua kwa makusudi Abu Akleh na kuitaka jumuiya ya kimataifa kulaani na kuiwajibisha Israel.
Jeshi la Ulinzi la Israel limesema vikosi vyake vya usalama vimekuwa vikifanya kazi katika eneo hilo "kuwakamata washukiwa wa shughuli za kigaidi," na washukiwa wa Kipalestina.
Mwandishi mwingine wa habari wa Al Jazeera, Al-Samudi, ambaye alikuwa na Abu Akleh wakati alipouawa, alisema hakukuwa na wapiganaji wa Kipalestina katika eneo hilo wakati huo. "Jeshi la Israel lilitupiga risasi," alisema Al-Samudi ambaye pia alipigwa risasi. "Hakukuwa na mpiga risasi wa Kipalestina mahali hapo."
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Yair Lapid, alisema kupitia Twitter kwamba serikali yake imejitolea kufanya uchunguzi wa pamoja wa Israel na Palestina, na kuongeza kuwa: "Wanahabari lazima walindwe katika maeneo yenye migogoro na sote tuna jukumu la kupata ukweli."
Akleh aliwahi kufanya kazi na UNRWA, Voice of Palestine Radio, Amman Satellite Channel, Miftah Foundation na Monte Carlo Radio kabla ya kujiunga na Al Jazeera.
Mkuu ni jambo LA kawaida kwa waandishi kufanya live coverage popote pale. Unapohoji hivyo na kuwa na mashaka na umri wako lakini pia uelewa wa mambo.lin umewai ona habari uwanja wa mtanange mbali na huko Ukraine ambapo baada ya mwandishi kufa , waandishi wamekoma kufanya hivyo
Punic mood activatedWakiristo kuliko ww hao wanaskitika, ww huku unapinga, ujinga ni ugonjwa wa akili View attachment 2220633
Si walitaka Vita .....SASA huyu alipata nafasi baaadaya kushinda Vita.......Ili mradi ujustify tu.
Ikiwa Ukraine basi kelele. Some people are more humans than others.
Angalia hii ramani, tena hiyo mwaka 1947 Israel walisaini mkataba wa kukubali hiyo ramani lakini ona leo wamechekua eneo lote na hata hayo makambi wanayataka.
Lakini husikii mkipiga keleleView attachment 2220316
Mungu wao yupi na ni Biblia gani hiyo.Sasa mbna mnalia lia RUSSIA akiwa anachukua eneo lake takatifu toka kwa wanazk pale UKRAINE alopewa na Mungu wake !!!??
Hiyo ni kwa mujibu wa maandiko matakatifu.Kwahiyo mtu akija kwako wewe hapo akakwambia hilo eneo lako amepewa na Mungu wake kwa mujibu wa maandiko yake na mababu zake wamezikwa hapo, utaondoka umwachie? Na majirani zako watamuunga muunga mkono?
Matakatifu kwa mujibu wa nani? Maana unachokiona wewe kitakatifu mwingine anaweza kukiona sio kitakatifu. Mfano Wahindu, Mabudha, Waislamu, na madhehebu kibao yanayotofautiana kiimani. Kwahiyo na wew unaweza kukubali mtu akuondoe kwenye eneo kwa madai kwamba alipewa na Mungu wake akisimamia maandiko anayoyaamini yeye na kudai ni matakatifu?Hiyo ni kwa mujibu wa maandiko matakatifu.
hahaaa usipanik bro , kobaz ulinunua mwenyew , hujalazimishwa kununuaWavaa kobaz wameingia vip hapo kama sio shobo mbinuko utakuja pakuliwa
una ushahidi mkuu?Mpo kimya?? Nyinyi sindio mnalialia kilasiku na propaganda zenu za urongo na nyuzi zenu kuhusu Urusi? Tena urusi hao anaowauwa si waandishi wa habari bali ni majeshi ya Nato yanayovaa gwanda wakirekodiwa wakitoa habari za uzushi ktk vyombo vya habari, Yule mdada alieuliwa leo ni muandishi official wa Al-Jazeera
Hilo eneo la Urusi alilopewa na mungu wenu alipokonywa lin ? mpk alipiganie ss hvHizi ndudu haziwezi kujibu maswali kama haya, ukiwapiga quiz kama hizi wanabaki kuchachawa, ndio ujue wanaushabiki maandazi
hat mm mbele ya camera naigiza kusikitika ila moyoi najisemea hili bora limeondoka maana ni punguani , anajali udaku kuliko uhaiWakiristo kuliko ww hao wanaskitika, ww huku unapinga, ujinga ni ugonjwa wa akili View attachment 2220633
waislamu tu , ila upande wa pili hautetei kwa misingi ya dini , ndio maana wapo wakristu wanasapoti UrusiHizo chuki zote za kidini wala hamna kingine,kila mtu anavutia kwake