Mwandishi wa habari wa Al Jazeera, Shireen Abu Akleh auawa akiwa katika majukumu yake ya kazi

Mwandishi wa habari wa Al Jazeera, Shireen Abu Akleh auawa akiwa katika majukumu yake ya kazi

Wa kuoana wanaume kwa wanaume wamefurahi kweli,

Yaani wanavyomkumbatia yahudi utadhani jamaa akiwainamisha anawasugua vizuri sanaaaaa,

Nyie endeleeni kuona tu wanaume kwa wanaume putin akifika ndio mutatia akili
 
View attachment 2220280
Mwandishi wa habari Shireen Abu Akleh enzi za uhai wake

Mwandishi wa habari wa Al Jazeera Shireen Abu Akleh (51) ameuawa kwa kupigwa risasi ya kichwa akiwa katika majukumu yake ya kazi wakati akifuatilia uvamizi wa Jeshi la Israel kwenye kambi ya wakimbizi ya Jenin.

Wizara ya Afya ya Palestina imesema Bi. Akleh alipigwa risasi ya kichwa huko Jenin, na kufariki muda mfupi baadaye.

Al Jazeera imevishutumu vikosi vya usalama vya Israel kwa kumlenga na kumuua kwa makusudi Abu Akleh na kuitaka jumuiya ya kimataifa kulaani na kuiwajibisha Israel.

Jeshi la Ulinzi la Israel limesema vikosi vyake vya usalama vimekuwa vikifanya kazi katika eneo hilo "kuwakamata washukiwa wa shughuli za kigaidi," na washukiwa wa Kipalestina.

Mwandishi mwingine wa habari wa Al Jazeera, Al-Samudi, ambaye alikuwa na Abu Akleh wakati alipouawa, alisema hakukuwa na wapiganaji wa Kipalestina katika eneo hilo wakati huo. "Jeshi la Israel lilitupiga risasi," alisema Al-Samudi ambaye pia alipigwa risasi. "Hakukuwa na mpiga risasi wa Kipalestina mahali hapo."

Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Yair Lapid, alisema kupitia Twitter kwamba serikali yake imejitolea kufanya uchunguzi wa pamoja wa Israel na Palestina, na kuongeza kuwa: "Wanahabari lazima walindwe katika maeneo yenye migogoro na sote tuna jukumu la kupata ukweli."

Akleh aliwahi kufanya kazi na UNRWA, Voice of Palestine Radio, Amman Satellite Channel, Miftah Foundation na Monte Carlo Radio kabla ya kujiunga na Al Jazeera.
Kuripoti watu wanarushiana mabomu siyo mchezo. R.I.P
 
lin umewai ona habari uwanja wa mtanange mbali na huko Ukraine ambapo baada ya mwandishi kufa , waandishi wamekoma kufanya hivyo
Mkuu ni jambo LA kawaida kwa waandishi kufanya live coverage popote pale. Unapohoji hivyo na kuwa na mashaka na umri wako lakini pia uelewa wa mambo.

Refer Taliban live footage
Refer al shabaab live footage
Pia waandishi wa habari hufanya mahojiano na magaidi,wauza madawa na kila aina ya MTU.

Usifikiri ni hawa waandishi wetu wanaopambana kuimba na kusifu wanasiasa.
 
Sijui hawa wa kufirana wamefurahi kwa kuwa huyu mama ni muislamu au ni mpalestina? Au kwa kuwa wauaji ni wale wanaomwita yesu mtoto wa zinaa?
Kweli hawa wanajitambua?
Au ndio mashetani wenyewe
 
Ili mradi ujustify tu.
Ikiwa Ukraine basi kelele. Some people are more humans than others.
Angalia hii ramani, tena hiyo mwaka 1947 Israel walisaini mkataba wa kukubali hiyo ramani lakini ona leo wamechekua eneo lote na hata hayo makambi wanayataka.
Lakini husikii mkipiga keleleView attachment 2220316
Si walitaka Vita .....SASA huyu alipata nafasi baaadaya kushinda Vita.......
 
Kwahiyo mtu akija kwako wewe hapo akakwambia hilo eneo lako amepewa na Mungu wake kwa mujibu wa maandiko yake na mababu zake wamezikwa hapo, utaondoka umwachie? Na majirani zako watamuunga muunga mkono?
Hiyo ni kwa mujibu wa maandiko matakatifu.
 
Hiyo ni kwa mujibu wa maandiko matakatifu.
Matakatifu kwa mujibu wa nani? Maana unachokiona wewe kitakatifu mwingine anaweza kukiona sio kitakatifu. Mfano Wahindu, Mabudha, Waislamu, na madhehebu kibao yanayotofautiana kiimani. Kwahiyo na wew unaweza kukubali mtu akuondoe kwenye eneo kwa madai kwamba alipewa na Mungu wake akisimamia maandiko anayoyaamini yeye na kudai ni matakatifu?
 
Kuna mambo tunaona kama mazoea ila ukiangalia ni ajabu kidg
Unarusha vita live ili iweje sasa ni burudan hiyo watu kuangalia
 
Mpo kimya?? Nyinyi sindio mnalialia kilasiku na propaganda zenu za urongo na nyuzi zenu kuhusu Urusi? Tena urusi hao anaowauwa si waandishi wa habari bali ni majeshi ya Nato yanayovaa gwanda wakirekodiwa wakitoa habari za uzushi ktk vyombo vya habari, Yule mdada alieuliwa leo ni muandishi official wa Al-Jazeera
una ushahidi mkuu?
 
Hizi ndudu haziwezi kujibu maswali kama haya, ukiwapiga quiz kama hizi wanabaki kuchachawa, ndio ujue wanaushabiki maandazi
Hilo eneo la Urusi alilopewa na mungu wenu alipokonywa lin ? mpk alipiganie ss hv
 
Hizo chuki zote za kidini wala hamna kingine,kila mtu anavutia kwake
waislamu tu , ila upande wa pili hautetei kwa misingi ya dini , ndio maana wapo wakristu wanasapoti Urusi
 
Back
Top Bottom