Mwandishi wa Habari wa The Citizen afukuzwa kazi. Kaponzwa na Maoni yake katika mitandao ya kijamii?

Mwandishi wa Habari wa The Citizen afukuzwa kazi. Kaponzwa na Maoni yake katika mitandao ya kijamii?

Wewe hiyo itakuwa ni kupoteza sababu. Achana na tarehe ya barua.Kwanza wamesema tu barua ya tarehe tajwa. Hakuna barua yenyewe yenye mhuri wa tarehe tajwa.
 
Ni sawa usemavyo lakini mwajiri anaweza pia akaibakideti barua ili ajinasue kwenye uonevu, hili nalo hufanyika, hapa tujue alipewa lini hiyo barua.
Barua kapewa ya kufukuzwa kazi kapewa tarehe 20 na hotuba ya Magufuli ilikuwa tarehe 23 nafikiri Kuna sababu nyingine ambayo iliyosababisha kufukuzwa kazi ila sio hii.
 
Hawa watu wanaojiita serikali nao wawe wanakubali kukosolewa! Damn!

Kila kitu kinageuzwa ligi! Ligi ligi ligi ligi!
 
Na mie nakazia alichoandika bwana mwandishi.

mods naombeni mnifukuze.
Sijaelewa. Amefukuzwa au amezuiwa kuwa contributor katika platofrms za "The Citizen" (Online, Newspaper, Digital)? Anaweza kuzuiwa ku-contribute lakini akafanya kazi za utafiti, nk.
 
hao Mwananchi ni wanafiki na wapumbafu.

kosa la huyo jamaa ni lipi hasa???

lazima kuwe na tofauti kati ya maneno ya rais wa nchi na maneno ya Nabii Tito.
 
Kidiplomasia wapo sahihi kwa 100%

Mwandishi wa habari wa nchi jirani kumwambia rais wa nchi nyingine kwamba watu wake wakifa yeye awe responsible

Sio kitendo cha uungwana hata kidogo na sio profissionalism ya kazi anayoifanya

Anataka kuingiza nchi yake na Tanzania Kwenye Mgogoro wa kidiplomasia usio na msingi

Angekuwa mwandishi wa ndani ya tanzania ingekuwa sahihi 100%
Mkuu naona tangu Mayalla akuchongee umekuwa mpoleee 😂😂😂😂
 
Duuu citizens sahv nigazet la ccm

Sent using Tume huru
Na sisi wadau na wana JF wote tuigomee Mwananchi communication's LTD kununua Magazeti yao yote,pamoja na bidhaa zote zenye uhusiano na kampuni hiyo.ndiyo iwe dawa yao.
 
chanzo cha chanzo cha kufukuzwa itakuwa nini wadau
,
tapatalk_1584605051986.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom