Aisee yaani mtu anafukuzwa kazi kwa sababu hiyo ?Yaani Trump na Macron wanavyoyukanwa na wapiga kura wao,Magufuli ndo angekuwa wao angekufa kwa pressure.
Barua ya tarehe 20, hotuba tarehe 22 . Ina maana wamechakachua tarehe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee yaani mtu anafukuzwa kazi kwa sababu hiyo ?Yaani Trump na Macron wanavyoyukanwa na wapiga kura wao,Magufuli ndo angekuwa wao angekufa kwa pressure.
Nchi jirani ya PembaHuyo kijana ni raia wa wapi?
Barua umeiona Mkuu? Hapo wametaja tu ya tarehe fulani.Barua ya tarehe 20, hotuba tarehe 22 . Ina maana wamechakachua tarehe?
Barua kapewa ya kufukuzwa kazi kapewa tarehe 20 na hotuba ya Magufuli ilikuwa tarehe 23 nafikiri Kuna sababu nyingine ambayo iliyosababisha kufukuzwa kazi ila sio hii.Ni sawa usemavyo lakini mwajiri anaweza pia akaibakideti barua ili ajinasue kwenye uonevu, hili nalo hufanyika, hapa tujue alipewa lini hiyo barua.
Sijaelewa. Amefukuzwa au amezuiwa kuwa contributor katika platofrms za "The Citizen" (Online, Newspaper, Digital)? Anaweza kuzuiwa ku-contribute lakini akafanya kazi za utafiti, nk.Na mie nakazia alichoandika bwana mwandishi.
mods naombeni mnifukuze.
Barua umeiona Mkuu ?Hapo wametaja tu ya tarehe flani.
Have a look on those datesOkay, na hapo asubiri kesi ya uhujumu uchumi
Ndiyo ili kuficha lawama ila wadau tumejua vilevileBarua ya tarehe 20, hotuba tarehe 22 . Ina maana wamechakachua tarehe?
Cheki hizo tarehe ndugu... Hayahusiani kabisahao Mwanchi ni wanafiki na wapumbafu.
kosa la huyo jamaa ni lipi hasa???
lazima kuwe na tofauti kati ya maneno ya rais wa nchi na maneno ya Nabii Tito.
Na mie nakazia alichoandika bwana mwandishi.
mods naombeni mnifukuze.
Mkuu naona tangu Mayalla akuchongee umekuwa mpoleee 😂😂😂😂Kidiplomasia wapo sahihi kwa 100%
Mwandishi wa habari wa nchi jirani kumwambia rais wa nchi nyingine kwamba watu wake wakifa yeye awe responsible
Sio kitendo cha uungwana hata kidogo na sio profissionalism ya kazi anayoifanya
Anataka kuingiza nchi yake na Tanzania Kwenye Mgogoro wa kidiplomasia usio na msingi
Angekuwa mwandishi wa ndani ya tanzania ingekuwa sahihi 100%
Na sisi wadau na wana JF wote tuigomee Mwananchi communication's LTD kununua Magazeti yao yote,pamoja na bidhaa zote zenye uhusiano na kampuni hiyo.ndiyo iwe dawa yao.Duuu citizens sahv nigazet la ccm
Sent using Tume huru
Hahahaaaa........ Kumbe nawe umetambua bwashee.Mkuu naona tangu Mayalla akuchongee umekuwa mpoleee 😂😂😂😂
Namuona tu bwashee jamaa anavyojiuma uma, kawa mpole full kusifia! Mayalla ni sumu!Hahahaaaa........ Kumbe nawe umetambua bwashee.
Pascal ni noma!
Have a look on those dates