DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Wanawake haijalishi awe kicheche au awe wife materials Hawa wote jicho lao moyo na nafsi wanaomba kwa Mungu na Shetani ili wampate mwanume mwenye vigezo hivi
Mpole ambaye haongei Sana
Msafi wa Mwili roho na Matendo
Mwenye haiba ya uanaume (masculinite )
Mwenye Akili za kujiongoza yeye na kujua thamani yake Mbele ya jamii yake na Familia
Mtu akishakuwa na hizo sifa hawezi kukosa maokoto yakumtosha kuishi vizuri
Kwakuwa wanaume wa hivi wapo wachache Sana hivyo wanawake wamebaki na zile za sizitaki mbichi
Value Man and Good man are rare