Mwanume mwenye hizi sifa ndo anatafutwa kwa tochi hapatikani

Mwanume mwenye hizi sifa ndo anatafutwa kwa tochi hapatikani

Comrade, hatua muhimu kabisa ya mapenzi, inatakiwa mwanamke akupende sana. Siyo tu uwe naye kwa sababu wewe unampenda, ila yeye akupende.

Na kama hadi leo hujawahi kupendwa sana na mwanamke, basi hujawahi kuwa na mpenzi, ila una mkebe tu wa kushushia 'uji wa mchele'.

Chukua notes hizo, ukayaonje mapenzi.

Ova
Ok
 
Wanawake haijalishi awe kicheche au awe wife materials Hawa wote jicho lao moyo na nafsi wanaomba kwa Mungu na Shetani ili wampate mwanume mwenye vigezo hivi

Mpole ambaye haongei Sana
Msafi wa Mwili roho na Matendo
Mwenye haiba ya uanaume (masculinite )

Mwenye Akili za kujiongoza yeye na kujua thamani yake Mbele ya jamii yake na Familia

Mtu akishakuwa na hizo sifa hawezi kukosa maokoto yakumtosha kuishi vizuri

Kwakuwa wanaume wa hivi wapo wachache Sana hivyo wanawake wamebaki na zile za sizitaki mbichi

Value Man and Good man are rare
Unajidanganya kijana.
 
Wanawake wanapenda Mwanume Intelligent mwenye AKILI (Acha hizi za Akili za shule).

Wanapenda Mwanaume anayenukia na kuvaa vizuri.

Wanapenda Good Game.

Kitu ambacho hawasemi mara nyingi wanapenda MWANAUME mwenye DRAMA.

DRAMA zipi.
Talkative kiasi.. haishiwi stories.
Mbunifu kitandani.
Mchokozi.. (Unpredictable) siku moja moja unakuwa rude yaani hupatikan kwa simu au hupokei calls.. hii inawapa sleepless nights. Na wanapenda sometimes kuwa stimulated.. kuchangamshwa..

Wanapenda mtu wa kuwapa maelekezo.

Swala la hela sidhani.

Ndio maana kuna Wanawake wanatoa wao PESA kulinda MWANAUME asiondoke maishani mwao.

Mwanaume kuwa na hela za kawaida tu na kazi ya kawaida. Utakula yeyote unayemtaka unless asiwe MFANYABIASHARA.
Chai
 
Hapa umemaliza kila kitu [emoji122][emoji122]
 
Yaani ukitaka ufeli katika maisha utake kumridhisha mwanamke.. ndugu yangu utaishia pabaya yaan inabidi uwe nusunusu tu yaani hata ye mwenyew asiweze kukutafsiri Kama unampenda au laa hapo utaishi nae kwa miaka mingi na utamwendesha unavotaka ww ila ukijifanya kumridhisha ujitutumue, ubembeleze nyokooo utaenda na maji
 
B… kwani kuna mtoto wa watu ulimletea drama ukamfanya akeshe? Lol
Ilitokea kwa bahati mbaya tu bila hata kutarajia nashtukia mtoto wa watu analalamika nimefanya akeshe siku mbili, wala sikuwa na habari.

Iliniuma mno kusikia hivyo kwa jinsi ninavyompenda. Nilivyo nikiona hata picha ya mkono wake tu, moyo wangu unafurahi, halafu ndiyo nimfanyie hivyo kusudi?

Ova
 
Mwanaume uwe na uchumi usioyumba, ukiwa na biashara zinajiendesha wewe ni kuangalia salio siku inapoisha. Ikiwezekana wife/mchumba asifanye kazi yeye ni ku enjoy maisha tu. Ikibidi mnatumia muda mwingi kufanya utalii nchi tofauti. Hapo utampata mwanamke yeyote. Hata spika wa bunge anaweza kuacha kazi yake ilimradi aongozane na wewe. Wanawake wa Sasa hivi hawaangalii upole, utanashati n.k, wanaangalia msimamo wa kiuchumi wa mwanaume. Future imekaaje.. BASI.
Wewe umepiga Kwenye mshono.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom