Mwanume mwenye hizi sifa ndo anatafutwa kwa tochi hapatikani

Mwanume mwenye hizi sifa ndo anatafutwa kwa tochi hapatikani

Wanawake haijalishi awe kicheche au awe wife materials Hawa wote jicho lao moyo na nafsi wanaomba kwa Mungu na Shetani ili wampate mwanume mwenye vigezo hivi

Mpole ambaye haongei Sana
Msafi wa Mwili roho na Matendo
Mwenye haiba ya uanaume (masculinite )

Mwenye Akili za kujiongoza yeye na kujua thamani yake Mbele ya jamii yake na Familia

Mtu akishakuwa na hizo sifa hawezi kukosa maokoto yakumtosha kuishi vizuri

Kwakuwa wanaume wa hivi wapo wachache Sana hivyo wanawake wamebaki na zile za sizitaki mbichi

Value Man and Good man are rare

Sifa za nn wakati nikitaka mwanamke nayempenda nampata kirahisi, hao wanawake wanaostahili kujisumbua wako wapi?

Rubbish
 
Lol! Huwezi amini thread za hivi huwa zinaanzishwa bila kujua kama kuna wanaume mahali wataponzeka kwa hizi hints.

Maana wahusika wakizisoma tu, basi wenzangu na mimi watabananishwa kwenye PM huko, 'like, anhaa kumbe ndio zenu eeh?!'

Wakati masikini ya Mungu hizi drama huwa zinazuka zenyewe na kufanya wao wakeshe, wala huwa hazipangwi jamani. Lol

Ova
 
Sifa za nn wakati nikitaka mwanamke nayempenda nampata kirahisi, hao wanawake wanaostahili kujisumbua wako wapi?

Rubbish
Comrade, hatua muhimu kabisa ya mapenzi, inatakiwa mwanamke akupende sana. Siyo tu uwe naye kwa sababu wewe unampenda, ila yeye akupende.

Na kama hadi leo hujawahi kupendwa sana na mwanamke, basi hujawahi kuwa na mpenzi, ila una mkebe tu wa kushushia 'uji wa mchele'.

Chukua notes hizo, ukayaonje mapenzi.

Ova
 
na hawa wanaopenda tu kikwapa cha mwanaume tuwaweke kundi gani?
 
Sifa zote hapa anazo yule mjinga wangu, ila ndio nampendaaaaa.
Juzi tu hapo katoka kunifanyia drama nimepata sleepless nights, ajabu nazidi tu kumpenda!
Atakuwa The Bold huyu. Mzee wa Vipepeo Weusi. Msalimie sana na umwambie tunazimiss simulizi zake
 
Wanawake wanapenda Mwanume Intelligent mwenye AKILI (Acha hizi za Akili za shule).

Wanapenda Mwanaume anayenukia na kuvaa vizuri.

Wanapenda Good Game.

Kitu ambacho hawasemi mara nyingi wanapenda MWANAUME mwenye DRAMA.

DRAMA zipi.
Talkative kiasi.. haishiwi stories.
Mbunifu kitandani.
Mchokozi.. (Unpredictable) siku moja moja unakuwa rude yaani hupatikan kwa simu au hupokei calls.. hii inawapa sleepless nights. Na wanapenda sometimes kuwa stimulated.. kuchangamshwa..

Wanapenda mtu wa kuwapa maelekezo.

Swala la hela sidhani.

Ndio maana kuna Wanawake wanatoa wao PESA kulinda MWANAUME asiondoke maishani mwao.

Mwanaume kuwa na hela za kawaida tu na kazi ya kawaida. Utakula yeyote unayemtaka unless asiwe MFANYABIASHARA.
Sijasoma yote ila Uzi ufungwe😀😀😀
 
Na mambo mengi ya kufikiria siwazi sana kuhusu mwanamke nachofanya ni kumjali kuonyesha upendo yeye kama hataona upendo wangu na akaamua kutikisa kiberiti akanivunjia heshima tunaacha on the spot yaani straight away nafuta kumbukumbu zake kama vile sijawahi kukutana nae kwenye maisha yangu.

Binadam hardhiki hata ujiweke vipi kama hana upendo na wewe ni hana upendo na wewe cha msingi uijue nafasi yako na uchukue maamuzi magumu hata kama maamuzi yako yatakuumiza kiasi gani
 
Lol! Huwezi amini thread za hivi huwa zinaanzishwa bila kujua kama kuna wanaume mahali wataponzeka kwa hizi hints.

Maana wahusika wakizisoma tu, basi wenzangu na mimi watabananishwa kwenye PM huko, 'like, anhaa kumbe ndio zenu eeh?!'

Wakati masikini ya Mungu hizi drama huwa zinazuka zenyewe na kufanya wao wakeshe, wala huwa hazipangwi jamani. Lol

Ova
B… kwani kuna mtoto wa watu ulimletea drama ukamfanya akeshe? Lol
 
Hii ni gani?
Magnetic personality... Ni kama ushawahi kuona jinsi sumaku inavyovuta vitu vyenye asili ya metal ndo hivyo watu wenye magnetic personality wanauwezo wakuwavuta watu waje kwao kama hivyo sumaku inavyovuta metals...

They're authentic, have excellent listening skills, and can make people feel validated. They have a natural charisma that makes people want to follow them.

Ni watu ambao wanawavutia watu kirahisi zaidi kutokana wanajua...jinsi gani ya kuwasoma watu, kuwasikiliza kuwafanya wahisi wameonekana na wameeleweka..which is very important to people… without being forceful.

yeah kiumbe chochote chenye damu kikipata nafasi ya kuongea na wewe lazima kivutiwe na wewe....hasa nyie wanawake hamuwezi ku-resist mwanaume mwenye magnetic personality.

Kuwa magnetic ni kitu kizuri ila sometimes unavutia kila kitu hata ambacho hutaki mpaka inaboa.

Some people are born with a magnetic personality, but the truth is you can learn to be magnetic.
 
Comrade, hatua muhimu kabisa ya mapenzi, inatakiwa mwanamke akupende sana. Siyo tu uwe naye kwa sababu wewe unampenda, ila yeye akupende.

Na kama hadi leo hujawahi kupendwa sana na mwanamke, basi hujawahi kuwa na mpenzi, ila una mkebe tu wa kushushia 'uji wa mchele'.

Chukua notes hizo, ukayaonje mapenzi.

Ova

Kabisa, akishakupenda vizuri kabisa, ni either aliwe na bocy, boda boda au rafiki zako,

Panda Ujumbe kuhusu wanawake hapa ndugu yangu :

View: https://youtu.be/RIJavth0a9c?feature=shared

Kuna siku utakuja kulialia hapa!
 
wanawa ke hawaeleweki wengn waseme wataka mwanaume mwenye mitako
Wengin mwnye kibiongo
Tutafute kipi sas
 
Back
Top Bottom