DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kwa kifupi uwe na 666, umesomekaMwanaume uwe na;
Kipato chenye sifuri 6
6 pack
Ndonga ya inch 6 kuendelea
hapo angalau utawapata pata
Value a Man and Good men are rareMwanaume uwe na;
Kipato chenye sifuri 6
6 pack
Ndonga ya inch 6 kuendelea
hapo angalau utawapata pata
We jamaa ni fala sana😁Mwanaume uwe na;
Kipato chenye sifuri 6
6 pack
Ndonga ya inch 6 kuendelea
hapo angalau utawapata pata
sikupingiMwanaume uwe na uchumi usioyumba, ukiwa na biashara zinajiendesha wewe ni kuangalia salio siku inapoisha. Ikiwezekana wife/mchumba asifanye kazi yeye ni ku enjoy maisha tu. Ikibidi mnatumia muda mwingi kufanya utalii nchi tofauti. Hapo utampata mwanamke yeyote. Hata spika wa bunge anaweza kuacha kazi yake ilimradi aongozane na wewe. Wanawake wa Sasa hivi hawaangalii upole, utanashati n.k, wanaangalia msimamo wa kiuchumi wa mwanaume. Future imekaaje.. BASI.
Wanawake haijalishi awe kicheche au awe wife materials Hawa wote jicho lao moyo na nafsi wanaomba kwa Mungu na Shetani ili wampate mwanume mwenye vigezo hivi
Mpole ambaye haongei Sana
Msafi wa Mwili roho na Matendo
Mwenye haiba ya uanaume (masculinite )
Mwenye Akili za kujiongoza yeye na kujua thamani yake Mbele ya jamii yake na Familia
Mtu akishakuwa na hizo sifa hawezi kukosa maokoto yakumtosha kuishi vizuri
Kwakuwa wanaume wa hivi wapo wachache Sana hivyo wanawake wamebaki na zile za sizitaki mbichi
Value Man and Good man are rare
Uzi ufungwee,Hapendwi mtu, inapendwa pochi.
6 pack za kufanyia nn?Mwanaume uwe na;
Kipato chenye sifuri 6
6 pack
Ndonga ya inch 6 kuendelea
hapo angalau utawapata pata
wewe unabebwa na nyash katumbo achana nacho😂6 pack za kufanyia nn?
Me mwenyewe nna katumbo mbavu hazionekani, we kama nani unijie na vimbavu wazi? 🤣🤣
Hii ni gani?Ukiwa na magnetic Personality
Hahawewe unabebwa na nyash katumbo achana nacho😂
Uzi ulifaa uishie hapa Umemaliza kila kituHawa viumbe wao wenyewe hawajui wanachotaka.
Mwanamke hana formula maalum juu ya nini hasa kinachomfanya ampende mwanaume.
Unaweza jipiga ukamfungulia duka na akaja kumpenda na kugongwa na mtu anaekuja kununua mkate wa 1700 kila siku kwenye hilo duka.
Kwa kifupi ukihisi umempata anaekupenda wewe enjoy hayo mapenzi kwa kadri utakavyoyapata ila kaa ukijua ni swala la muda yataisha tu.
Ogopa mtu anaenyoa nyusi zote halafu anachora mbadala kwa wanja.
WANAWAKE HAWAELEWEKI KAKAKwa kifupi uwe na 666, umesomeka
Muhimu muhimuuuWanapenda Mwanaume anayenukia na kuvaa vizuri