Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi


Mikutano ya ndani ni tofauti na ya hadhara
Komano hilo kwa picha uliyoiona ni ndani au nje?
 
Watanzania kwenye mitandao utawapenda sana?!
 
Polisi wanatoa ulinzi pale wanapojihakikishia jambo halina madhara wala athari kwa wenye jambo lao au jamii. Hawawezi ona usalama wa jambo haupo halafu wakaruhusu lifanyike na wao wakapeleka ulinzi
Nakwambia hivi.

1. Mtu anaangalia kama mkutano wake unahitaji ulinzi wa polisi au hauhitaji.

2. Kama hauhitaji ulinzi wa polisi, hususan kama hautumii public grounds, anaendelea na mkutano. Hahitaji kutoa taarifa polisi. Hii ni haki yake ya kikatiba.

3. Kama anahitaji ulinzi wa polisi, anahitaji kutoa taarifa polisi.

Sasa mtu akiishia namba mbili hapo juu, polisi wanaingiaje hapo?
 
Mikutano ya ndani ni tofauti na ya hadhara
Komano hilo kwa picha uliyoiona ni ndani au nje?
Ni, ndani ndio maana hapo kuna sehemu. Nikasema ilibidi hapo waliokuwepo wasikubaliane pachafuke.
Bahati mbaya tuna taifa la Vijana waoga.
 
Wataingia kama tuu wataona hali hatarishi kwa wahusika au jamii
Usalama wa raia
 
Wasio na bunduki wanaonyeshanaje umwamba na wenye mitutu ?
Never and Never Again.

Hatutakubali.

Mkutano uko pale pale.

Hizo zote ni kauli za kishujaa sana.

Sisi tunasubiri tu kuona matokeo maana wakati hizo kauli zinatolewa, wanaekabiliana naye wanamfahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…