Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili lina mkono wa DiPiWeldi....Serikali wilayani llemela mkoani Mwanza imeifunga bar maarufu ya The Cask Bar & Grill jijini Mwanza kwa tuhuma za ukwepaji kodi kwa kipindi cha miaka miwili.
Kwa mjibu wa Mkurugenzi wa manispaa ya llemela Kiomono Kibamba, amesema uongozi wa bar hiyo umekwapa kodi ya Serikali na kuendesha biashara zaidi ya moja eneo hilo hilo.
Akizungumza katika eneo hilo la Bar Mkurugenzi wa llemela, Kiomoni Kibamba amesema mmiliki wake amekiuka masharti ya uendeshaji wa biasharaikiwemo kukosa leseni ya biashara kwa kipindi cha miaka miwili.
Pia soma:
- Imekuwaje The Cask Bar waombe radhi kwa wateja wao kuwa na ujumbe wa kuokoa bandari
Inaweza pia kuwa "cask gene mutation", ambayo bado ni shida vilevile kama ulivyoieleza hiyo ya 'coffin'Ok.Hivi hilo jina "cask" mwenye baa alimaanisha nini? It sounds hideous!Ni kama kifupi cha casket.Yaani jeneza.🤔
Dah!OKOA BANDARI DPWORLD
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatuna roho mbaya, tusamehe ewe mpiga kura. Tunahitaji kura yako 2025. Asante.
Huyu Mama sio tumbua tumbua ovyo!, utasubiri sana!. Sasa tuko kwenye era ya reasoning and logic!Mkurugenzi wa Ilemela amejitoa kafara kwa kukiuka maelekezo ya Rais kwamba biashara zisifungwe; huyu mkurugenzi ni moja ya watu wanaoishi katika utawala uliopita. Kukiuka kauli ya mwenye nchi ni dharau na natabiri soon anatumbuliwa.
Ok.Hivi hilo jina "cask" mwenye baa alimaanisha nini? It sounds hideous!Ni kama kifupi cha casket.Yaani jeneza.[emoji848]
Vema sana.Siku nyingine mtu akipata mtoto wa kiume amuite KABU.Ni zuri na linakaribia kufanana na KABURI.
Vema sana.Siku nyingine mtu akipata mtoto wa kiume amuite KABU.Ni zuri na linakaribia kufanana na KABURI.
Maelezo yako yameeleweka.Cask haina uhusiano na jeneza wala kaburi. Yanatumika sana kwenye kutunza mvinyo….
Huyu mjanja, anajua namna ya kula na vipofu.
Huyo mwenye hiyo bar hana akili au anajuwa anachokifanya.Dah!
Kumbe?
Sasa watu humu wanazungukazunguka na visababu, kumbe sababu yenyewe ipo wazi hapa!
Sasa sijui CHADEMA hili limewaingia vipi, maanake ni wahusika wakubwa wa mkasa huu.
Kunyamazia tu haitoshi. Haya ni baadhi ya mambo yasiyofaa kabisa kutokea ndani ya nchi.