Huyu ni mtumishi wa umma. Ni mwalimu huyu. We kama mzazi unaona ni sawa mwanao afundishwe na mwalimu wa hivi? Mambo mengine mbona ni common sense tu hata bila kuingiza uanaharakati na ushabiki uchwara?
Asimamishwe kufundisha mpaka pale tatizo lake litakapoeleweka. Na kama ni mgonjwa wa akili basi apatiwe msaada stahili na mwajiri wake. Ni hayo tu sis....
Kweli kabisa coco.Mtu kuandika hamu ya mwili wake nayo ni maneno machafu.. eeeeh au kuna mengine hamkutuhabarisha humu!!
Deo tunasubiri utoke uje utupe habari za huko wanapokupitisha.
Umetisha sana
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] ati?Mtu kuandika hamu ya mwili wake nayo ni maneno machafu.. eeeeh au kuna mengine hamkutuhabarisha humu!!
Deo tunasubiri utoke uje utupe habari za huko wanapokupitisha.
Kule kwenye utajiri wa madini ( ngosha)Kisandu ni kabila gani vile
mmmnh yaani tatizo sio kitu alichofanya bali ni utumishi?? ina maana angekua amefanya mtu ambae si mwajiriwa wa serikali,usingemkamata?....mmmnh ..........na unajuaje afya ya akili za hao wanaowafundisha watoto wenu na hawapo kwenye hizo social sites?.............usiku mwema bro,lol
Ntemi Gisandu Pio Ng'wananalimi bangwashaga. Maluho matale !!!Nkulu wane bhakugwasha.
Nadhani Serikali isiishie kuhakiki walimu wenye Vyeti feki. Kuna haja ya kuhakiki hata nidhamu ya walimu.Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limemkamata Deogratius Kisandu ambaye ni mwalimu wa Shule ya Sekondari Mkolani kwa makosa ya kutumia vibaya mitandao ya kijamii kwa kuandika matusi.
Mtuhumiwa huyo anadaiwa kutumia ukurasa wake wa Facebook kuandika matusi kwa takribani wiki nzima.
...and it's very improper for the prosecution to try shifting its burden!Yes , you raise a reasonable doubt and leave the prosecution to give evidence to contradict that. The burden never shifts mind you!
uyo dina kazid kupost ujinga anabid apewe ban ya miaka 100Dina kalimwa ban