Mwanza hapajabadilika kwa miaka 13, bado nyumba zinachungulia kutoka milimani

Na kwa habar za ndani zaidi uchumi wa mwanza umeporomoka sana tangu mwenda zake afukiwe! Yaani hakuna mzunguko wwt wa pesa kwa muda wa 2years now ni kama dead city now
Utaonaje mzunguko wa pesa na wewe biashara yako kuu ni ya kuuza matobolwa na bahati mbaya sana kwa Mwanza matobolwa kila mtu ana stock ya kutosha nyumbani kwake.Fanya biashara ya kueleweka uone kama hakuna mzunguko wa pesa
 
Kama miradi gani hiyo mikubwa ambayo haifanyiki Sasa hivi 😁😁😁😁
Nitajie hapa hiyo miradi mikubwa Ili twende sawa
 
UONGO MTUPU,HAYA NI MAWAZO YAKO MFU
 
Si mliwakataa wawekezaji nyie?
 
Mwanza ipi hiyo unaongelea wewe kenge! hiyo Mwanza ya miaka 10 iliyopita ilikuwa na stend 2 za maana, ilikuwa na soko kuu jipya, daraja refu kuliko yote Afrika mashariki, daraja la juu la sgr (viaduct).

Wewe umefika juzi umejua uchumi wa Mwanza umeshuka kwa tafiti zipi?
 
2010 mpaka leo mza haijabadirika? una chuki binafsi.. the cask ilikuwepo?
 
Ujenzi wa soko ndio unaleta pesa Mwanza? Mwanza mtaendelea kupauka hivyo hivyo
 
Sema umefika kwenu bado hovyo peleka hela pakajengwe kumbuka kuna stendi mbili kali mpya za juzi kati tu hapa ,kuna daraja kubwa linaleta madhari nzuri inaleta picha fulani ya mji kuwa safi.

Zile vipanya buku ndio kila kona vipo isipokuwa Dar tu.
 
Haka kajamaa kanajiona kana akili Sana kumbe zombi , alikuwa na sababu gani ya kukuita mjinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…