Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,843
- 10,321
Acha mahaba kijana wengine mwanza ndiyo nyumbani mpaka kesho, in short mwanza dar arusha mbeya tanga Dodoma, hazina hadhi ya kuitwa jiji au majiji ila kuna vijiji vilivyochangamka tuUzuri wa Dodoma upo kwenye nini? Kila jiji lina sehemu za makazi duni yaan slums, kwa Mwanza nje ya igogo kuna slum sehemu gani? Unajua gharama za kujenga nyumba kwenye hills na rocks, ningekuwa nabishana na mtu mwenye kuijua mwanza hapo sawa lakini wewe umejawa na chuki na upumbavu pamoja na wivu uliokithiri, hakuna jiji lenye mvuto hapa EA na central Africa kama jiji la Mwanza
Nitajie ni jiji gani lililopangiliwa hapa TanzaniaMji wa kishamba sana
Hawa matonya ndio wanauwezo wa kujenga mji?πππ.
View attachment 3034575
Mabatini igogo igoma nyakato sokoni, kangaye kitangiri bugharika mahina njoo huku temeke nyambitiUzuri wa Dodoma upo kwenye nini? Kila jiji lina sehemu za makazi duni yaan slums, kwa Mwanza nje ya igogo kuna slum sehemu gani? Unajua gharama za kujenga nyumba kwenye hills na rocks, ningekuwa nabishana na mtu mwenye kuijua mwanza hapo sawa lakini wewe umejawa na chuki na upumbavu pamoja na wivu uliokithiri, hakuna jiji lenye mvuto hapa EA na central Africa kama jiji la Mwanza
Naona unajiandikia tu kwa ajili ya kujifurahisha.Mkuu kuifananisha dom na mwanza ni kuikosea heshima dodoma, na labda huijui dodoma vzuri, zunguka dom vzuri mkuu
Nitajie mkoa ambalo eneo loote la mkoa Kuna masterplan ya mipango miji, maana hata huko unapopasifia sehemu za kipuuzi ziko nyingi sana, ni udhaifu na upuuzi mkubwa kulinganisha sehemu kama Mwanza na Dodoma, yaani mji ambao bila serikali kumwaga pesa zake zooote hapo ufananishe na mji Ambao unajikuza wenyewe?, ni sawa na katoro au kahama inakimbia Kwa Kasi bila ya serikali kufanya juhudi zikue.Mabatini igogo igoma nyakato sokoni, kangaye kitangiri bugharika mahina njoo huku temeke nyambiti
Huko kote ni makazi yasiyokuwa na master plan ya mpango miji
Endeleeni kujifariji na vichaka vyenu, eti kasoro Dodoma.Majiji yote bongo ndio hivyo hivyo... kasoro Dodoma..
Mpuuzi hajui kitu huyo jamaaSasa ww kajamba nani ulitegemea utembelee wap?..
Kila jiji lina sehem ya wenye pesa na uswaz....wew umetembelea uswaz
Nyumba za mabatini, bugarika, Ghana zipo tokea miaka ya 80'sMwanzoni mwa miaka ya 1990 Mwanza ilikuwa nzuri sana, lakini sijui kuna shetani gaqni aliwapitia wakati wa upanuzi uliofanyika miaka ya 2000 hadi 2020 kwani jiji lote liliharibika sana likawa lenye mbanano mbanano tu. Watu wanajenga vijumba vya hovyo popote pale wala hawachukuliwi hatua, bali wanaita eti upimaji shirikishi.
Huwa si reply coment za vilaza kama nyie lakini ngoja nikujibu, unaijua geographical location ya hayo maeneo? Sehemu kubwa ya jiji la Mwanza ni miamba pia ni milima unataka huko wajengo ma bangalow kwwnye mstari ulionyooka, au mpangilio wa mji nini? Ulishaona miji kama Busan, miji y scandinavia ilivyo n.kMabatini igogo igoma nyakato sokoni, kangaye kitangiri bugharika mahina njoo huku temeke nyambiti
Huko kote ni makazi yasiyokuwa na master plan ya mpango miji
Budder unaongea na haupo Dodoma, Man I'm living in Dodoma kama haujui sasa π au unafikiri mm npo Mwanza si ndio π khs Dodoma iko hv majengo ya ghorofa yote yanajengwa na gvt hvo bas siku gvt ikitosha kujenga hzo ghorofa ambazo ndio zinafanya sshv muishobokee Dodoma itasimama nywiiiiih!!! Unlike Mwanza yani Since day one no gvt support and it keeps battling with the cities whom the gvt put much on them, wewe huogopi!? Dodoma hii ambayo serikali watatumia nguvu kulazimisha watu waishi ndio unaongelea!? π π Mwanza might be a slum but is there a city in Tz with no slums!? Jiji zenu zote ni slums mazeeh π€ͺ kwa Dodoma afadhali kdg Makulu kwingne kotee ni slums tupu sa watayasema nn weyee, Just calm down usitake kushindanisha vimji vinavyopambaniwa na Jiji linalojipambania utabaki kuumia tu ,na msiombe ile Mwanza ikuje kuwekewa barabara za mtaa kwa kiwaki stahiki Mtalia sana.Acha vichekesho,Kasi ya Ukuaji wa Jiji la Dodoma unaweza linganisha na Mwanza is uswazi City?
Dodoma kunajengwa zaidi ya magorofa 100 Kwa mwaka,Mwanza hata 10 hakuna π€£π€£
Umemaliza kila kitu, soon usagara inaenda kuungana na buhongwa na kisesa, ni mijumba tu watch wanashusha, inaonesha kipato Cha Mtu mmoja mmoja ni nzuri, natoa mfano wa kahama na katoro, wale wasukuma wameujenga mji na kukua wenyewe bila msaada wowote wa serikali, kipato Cha Mtu mmoja mmoja kahama ni mkubwa kuliko Dodoma.Budder unaongea na haupo Dodoma, Man I'm living in Dodoma kama haujui sasa π au unafikiri mm npo Mwanza si ndio π khs Dodoma iko hv majengo ya ghorofa yote yanajengwa na gvt hvo bas siku gvt ikitosha kujenga hzo ghorofa ambazo ndio zinafanya sshv muishobokee Dodoma itasimama nywiiiiih!!! Unlike Mwanza yani Since day one no gvt support and it keeps battling with the cities whom the gvt put much on them, wewe huogopi!? Dodoma hii ambayo serikali watatumia nguvu kulazimisha watu waishi ndio unaongelea!? π π Mwanza might be a slum but is there a city in Tz with no slums!? Jiji zenu zote ni slums mazeeh π€ͺ kwa Dodoma afadhali kdg Makulu kwingne kotee ni slums tupu sa watayasema nn weyee, Just calm down usitake kushindanisha vimji vinavyopambaniwa na Jiji linalojipambania utabaki kuumia tu ,na msiombe ile Mwanza ikuje kuwekewa barabara za mtaa kwa kiwaki stahiki Mtalia sana.
Me naishi Makulu nmehamia juzi nlkuwa Ihumwa, sema unaipa Promo Dodoma ngoja tukusupport but is shocking around here labda aje mgogo wa kikimbo au mpwayungi ndio ataona Kuna cha ajabu.Mkuu usifananishe makulu hata mtaa mmoja wa mwanza aseeh Makulu mtaa mmoja unaifunika mwanza nzima
Dodoma hii kumejengwa hadi barabara na hakuna magari imagine wakati Mwanza watu wanataka barabara zijengwe watu wapumue, Uhundini ambayo ilkuwa mitaa ya kishua Dodoma ni kama mtaa wa Mahina tu pale Mwanza afu unataka kusema mzee, wewe weka battle na Kahama, Moro, Moshi au hata Tunduma tutachangia uzi πDom baada ya miaka 10 ijayo hata dsm itaisubiri, jamaa anataka kulinganisha dom na uchafu,,, mwanza hata kufkia hadhi ya mtaa mmoja wa michese tu bado ikasome,
Km walivyofanya Soko lile laUko sahihi,Vile vujumba vya mabatini inafaa kupigwa kiberiti usiku papangwe upya
Hii battle nimeupendaDodoma hii kumejengwa hadi barabara na hakuna magari imagine wakati Mwanza watu wanataka barabara zijengwe watu wapumue, Uhundini ambayo ilkuwa mitaa ya kishua Dodoma ni kama mtaa wa Mahina tu pale Mwanza afu unataka kusema mzee, wewe weka battle na Kahama, Moro, Moshi au hata Tunduma tutachangia uzi π
Hawa wajomba kinachowauma ni kuona Mwanza is just moving forward each day, yani wanaongea hulu nafsi zao zinawasuta, I beg Mwanza kuwekwa serikali za mitaa tu bas hawataka kulinganisha na miji inayosifiwa kwa sababu inabarabara za mtaa zenye kiwango cha lami, I guess unapapata machinjioni Kule wakiweka tarmac roads aah ni amsha pote hadi Mahina, Igoma ,Mhandu imagine.Umemaliza kila kitu, soon usagara inaenda kuungana na buhongwa na kisesa, ni mijumba tu watch wanashusha, inaonesha kipato Cha Mtu mmoja mmoja ni nzuri, natoa mfano wa kahama na katoro, wale wasukuma wameujenga mji na kukua wenyewe bila msaada wowote wa serikali, kipato Cha Mtu mmoja mmoja kahama ni mkubwa kuliko Dodoma.