Mwanza: Jiji lenye wakazi Duni na mpangilio wa ovyo wa makazi Tanzania

Pole sana Mkuu I feel your pain ni kitu gani kinakufanya unaichukia Makulu ili Mamlaka inapita hapa ikusaidie kufanya maboresho ya hapo Makulu, hakuna Maji?
 
Kwa hio sasa Mkuu nini kinakwamisha wasiweke tarmac roads? Naona unaandika huku machozi yanakutoka sana you wish ungekua na Pesa zako utandaze lami kote na usisubiri tena Serikali
 
Pole sana Mkuu I feel your pain ni kitu gani kinakufanya unaichukia Makulu ili Mamlaka inapita hapa ikusaidie kufanya maboresho ya hapo Makulu, hakuna Maji?
Man it's totally a mess to be here kuanzia maji ni tatzo ,vumbi la kwenda hadi inalazimu mtu uwe na glass kwa macho sasa, nashangaa kumbe kuna watu wanafurahia haya mazingira oiiih eeeh
 
Man it's totally a mess to be here kuanzia maji ni tatzo ,vumbi la kwenda hadi inalazimu mtu uwe na glass kwa macho sasa, nashangaa kumbe kuna watu wanafurahia haya mazingira oiiih eeeh
Jua linakupiga kwa sana vumbi ndio usiseme Ila kuna wenzio KUOGA mavumbi ndio furaha yao
 
Kwa hio sasa Mkuu nini kinakwamisha wasiweke tarmac roads? Naona unaandika huku machozi yanakutoka sana you wish ungekua na Pesa zako utandaze lami kote na usisubiri tena Serikali
This gvt is sometimes a shit, imagine nmekaa kule two Months kila siku watu waliharibikiwa magari sababu ya makorongo barabarani ,kuna hadi viwanda lkn hamna barabara za kiwango, watu wamejenga ,kuna soko huko kubwa ila bado tu hawaweki lami ni nn hko sasa
 
Mkuu hii kweli inafikirisha sana kwa hio huduma zote za maendeleo zipo Ila barabara hakuna au barabara haifai kupitisha Gari kwa sababu imejengwa chini ya kiwango?
 
Mkuu hii kweli inafikirisha sana kwa hio huduma zote za maendeleo zipo Ila barabara hakuna au barabara haifai kupitisha Gari kwa sababu imejengwa chini ya kiwango?
Maendeleo yote yapo na watu wamejenga na wana magari wanapita kwenda makwao barabara ndio mbovu yaan ni vumbi tupu ,imagine weny bajaji wameshagomea kwenda huko sababu ya barabara kuna vi hiace vle vpanya ndio vnaenda na vinaishia Machinjion havifk KAKEBE ,MAHINA na MANDU mnashuka kuanza kutafuta boda hiyo fedhaha kwa Mwanza moreOver barabara kuanzia NATA ,MABATINI, BUZURUGA, NATIONAL, MWATEX ,NDAMA, IGOMA, NYAMHONGOLO had KISESA hakuna taa.

Ukirudi upande wa pili huko kuanzia Usagara ni vurugu tu za Magari barabara finyu na mbovu kuwahi kutokea ,imagine barabara kuu kuingia mjini ni mbovu vle na barabara bdo hamna taa, barabara Zote za mkato BUHONGWA to IGOMA ndio nliona wanaparaza huo mwezi wa 4 wanatak kutia lami, kwhyo Mwanza kwenye miundombinu kwakwel imesuswa sana ila inaenda hvohvo mji unapanuka kila siku kwa matumain ipo siku gvt watatia lami kwenye hzo barabara.
 
Duh hatari kwa hiyo ulitaka wapige level UDOM mzima kama kiwanja cha mpira 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Vitu vingine muwe mnakaa kimya aisee😂
 
Unapachukia Kwa sababu zipi za msingi?
 
Maji hutoka kwa muda mnaweza kukaa siku 5 maji hamna au kuna wakati yanakuj mchana ndani ya dk 40 had 1hr kama haupo nyumbani unapishana nayo hadi muda mwingine.
Hapo kweli changamoto Mkuu na maji ndio kila kitu vipi visima vya kuchimba hakuna kabisa yaan ni maji ya kusubiria bombani tu?
 
Sasa mtoa mada ameeleza hapo Juu ubovu na uhovyo wa Mwanza,nikajua mfano wa kigezo Kimoja Cha makazi wewe unabisha.

Sema basi kigezo Cha Jiji kuwa Bora ni nini labda? Maana huko Fishing town ya Mwanza kilakitu ni Cha hovyo.
 
Hapo kweli changamoto Mkuu na maji ndio kila kitu vipi visima vya kuchimba hakuna kabisa yaan ni maji ya kusubiria bombani tu?
Dodoma Bado Kuna shida ya Maji na Serikali inajua Hilo na inafanya utaratibu wa mda mfupi na mda mrefu.

Mda mfupi ndio Hilo la kuchimba visima na kutumia kiasi Fulani Cha maji ya bwawa la mtera.

Suluhisho la mda mrefu Serikali italeta maji ya Ziwa Viktoria na pia inajenga bwawa kubwa la Farkwa na eneo oevi la swaswa huko Chemba na kazi inaendelea.

Sema hivi huo utekelezwaji Hadi kukamilika hesabuni 2030 ,wakiwahi sana 2028.
 
Kweli hapa Mkuu umesema kwa maumivu makalio sana maana barabara Ina msaada mkubwa sana kwa Wananchi sasa kunapokua na barabara mbovu au barabara isiyoleta Msaada kwao inakua changamoto sana mfano kuna wagonjwa, wamama wajawazito, nk sasa kukiwa na barabara mbovu hivyo ni changamoto sana ukiondoa watu wengine Ila kwa watu wenye hizo changamoto ni changamoto nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…