Mwanza: Jiji lenye wakazi Duni na mpangilio wa ovyo wa makazi Tanzania

Okay sawa Mkuu kwa hio kumbe kuna Miradi ya Maji tayari ipo kwenye mpango kazi mpaka kufikia 2030 kero ya Maji itakua imekwisha Dodoma nzima si ndio mkuu? Au ndio maelezo ya kwenye Makaratasi tu?
 
Okay sawa Mkuu kwa hio kumbe kuna Miradi ya Maji tayari ipo kwenye mpango kazi mpaka kufikia 2030 kero ya Maji itakua imekwisha Dodoma nzima si ndio mkuu? Au ndio maelezo ya kwenye Makaratasi tu?
Kazi zilishaanza utekelezwaji,hususani bwawa la Farkwa.,Mradi wenyewe wa takribani Bilioni 300 sio pesa ndogo ,uta solve shida yote ya maji Dom Kwa miaka Mingi zaidi.

Maji ya Ziwa Viktoria Kwa sehemu kubwa yataletwa Kwa Ajili ya Kilimo Cha Umwagiliaji.πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/4Nvp--wOsIU?si=X7Bl1nVnOkZasKGU
By 2030 sitarajii kama Kuna sehemu yeyote ya Tanzania itakuwa na shida ya Maji maana Kuna mamiradi makubwa yanaendelea Kila pande ya Nchi.πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/HoF9vzGAleA?si=0p5kaLTx5hzrZp19
 
Hapo sasa nimekuelewa vizuri Mkuu
 
Ndio iko hvo mkuu ila vitu kama hivyo ni uzembe tu kwa serikali yetu.
 
Unapachukia Kwa sababu zipi za msingi?
Ningekuwa napachukia ningeondoka hata leo ila siwez kupaisha upumbavu mm ,imagine nianze kujipa moyo huku najua kbs npo uswekeni mji huu sio wakulingnishiwa Mwanza km uko elite, ww mwenye chuki na RockCity ndio ujipange kuumia tu.
 
Ningekuwa napachukia ningeondoka hata leo ila siwez kupaisha upumbavu mm ,imagine nianze kujipa moyo huku najua kbs npo uswekeni mji huu sio wakulingnishiwa Mwanza km uko elite, ww mwenye chuki na RockCity ndio ujipange kuumia tu.
Mwanza ni uswazi hauna hadhi ya Jiji.
 
Sasa mtoa mada ameeleza hapo Juu ubovu na uhovyo wa Mwanza,nikajua mfano wa kigezo Kimoja Cha makazi wewe unabisha.

Sema basi kigezo Cha Jiji kuwa Bora ni nini labda? Maana huko Fishing town ya Mwanza kilakitu ni Cha hovyo.
Yah kila kitu RockCity kinaweza kuwa hovyo but is there a city in Tz ambayo haiko hovyo!? Mwanza iwe hovyo whatever but huwezi et kulingnisha with this, desert and dust town called Dodoma unless uwe hauna akili timamu, kitu cha kufanya nenda uswekeni kama, Njombe ,Mbeya ,Katoro ,Chattle ,Babati ndio ukawadanganye hvo kwa elite one hapana utajisumbua tu.
 
Kama Ihumwa yangu yenye paa za kijani pamepangika kuliko Mwanza jiji hakika Mwanza ni pa hovyo sana.

Karibuni Ihumwa wadau
 
Mwanza ni uswazi hauna hadhi ya Jiji.
Basi kama Mwanza haina hadhi ya Jiji that means hauna Jiji nchini mwako ,ispokuwa Mwanza Jiji unategemea ni mji gani uwe city sasa!? Only Dsm right 😁 nyie kna Dodoma, Mbeya, Arusha, Level zenu ni Morogoro, Moshi ,Kahama tena hiyo Mbeya ikae na kna Katavi na Njombe na Bukoba.
 
Hujatuambia wewe ni mzaliwa wa wapi, mkoa gani?
Tuanzie japo Kwanza.
 
Jiji
Dar
Dom
Arusha
 
Kama Ihumwa yangu yenye paa za kijani pamepangika kuliko Mwanza jiji hakika Mwanza ni pa hovyo sana.

Karibuni Ihumwa wadau
Ihumwa hii iliyojengwa upande mmoja wa barabara na kwingine ni eneo la Jeshi !? Me nlkuwa naishi Samaki Samaki kule nmehamia Makulu tangu mwez wa pili.

Nkuulze kwanza unaijua Geography!? Unaijua Rio de Janeiro!?

Elimu zenu za kupatia JF ndio tatzo, Mwanza ni Jiji la miamba yani milima, Dodoma ni tambalare, kwhyo ulkuwa unategemea Mwanza itakuwa na muonekano km Dodoma!? Isome kwanza jiografia ya mji ndio uongee mzee ,lile Jiji lingekuwa na mataifa makubwa lingekuwa moja ya Jiji zuri san Africa hii, take that.
 
Jiji
Dar
Dom
Arusha
Kwa mujibu wa watu wa uswekeni right πŸ˜… nenda na Google ukabadilishe ety Arusha, Dodoma man be serious bas πŸ˜†

Natamani ingekuwa tuna majiji matatu nchi hii ambayo ndio atleast
Dar es Salaam
Mwanza
Arusha
Hao wengine warudishwe huko nyuma.

Mwanza ni Jiji linalondwa na Manispaa 2 ,Arusha 1 Dodoma 1.

That's means kama Shinyanga ingekuwa Karibu na Kahama leo hii ingekuwa ni Jiji la 3 kuzd hzo Arusha na Dodoma sababu Shy iko na Manispaa ya Shy na Kahama.

So ashamed with yuh mzeeπŸ˜…πŸ˜…
RockCity iheshimiwe aseeh πŸ€©πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…