Mwanza: Jiji lenye wakazi Duni na mpangilio wa ovyo wa makazi Tanzania

Usituchishe bwana,Mwanza ni Mji wa hovyo Kila mtu akienda huko lazima assume,why not Miji mingine? ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Usituchishe bwana,Mwanza ni Mji wa hovyo Kila mtu akienda huko lazima assume,why not Miji mingine? ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
Sababu kubwa ni Jiji la pili mzee ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… halafu ni Jiji linalotembelewa na wengi hvo lazima tu lizungumziwe, the Geography of Mwanza also wengi hawajawahi kuiona tangu wamezaliwa ๐Ÿ˜ sasa mtu ataleta thread ya Tanga ,Mbeya au Arusha wakt hamna watu wa kwenda huko.

Kitu kingine nilichokigundua wengi mkienda Mwanza mnapita tu barabarani hamtembei sasa mtu anaenda hadi Igoma sjui Nyamhongolo afu anakuja na thread, tembeeni Mwanza sio ,National, Igoma Nyamhongolo na Usagara tu ๐Ÿ˜
 
Serikali yenyewe wanaishi kwa mikopo wataweza kuwalipa wakazi wote wanaoishj milimani?
 
Mwanza kuzuri especially hali ya hewa. Huko milimani ni hela tu! Panaweza kujengeka vizuri tu kama Capri point kukawa na mitaa iliyopangika vizuri na barabara nzuri
 
DOM ni Best City in Tz kataeni mkubali japo ukwel unauma, kwa jiji lenye Hadhi ya Dodoma kwa Tz kwa sasa hamna. Na halitakaa litokee
Exactly...kwa East Africa hakuna Jiji lililopangiliwa mipangomiji na miundombinu kama Dom
 
cc Mikdde Kitombile
 
Mbona capri point ni milimani na kuna miamba kama yote lakini pamejengeka vizuri tu! Mi naona ni suala la serikali kuamua na kushirikisha wadau ...hapo mabatini panaweza kuwa pa kishua balaa kama serikali ikiamua
 
Pole sana Mkuu I feel your pain ni kitu gani kinakufanya unaichukia Makulu ili Mamlaka inapita hapa ikusaidie kufanya maboresho ya hapo Makulu, hakuna Maji?
Huyo atakua mgeni wa Jiji la Dodoma....Makulu ni mojawapo ya mitaa michache Dom ambayo inapata maji karibia kila siku kutokana na ukaribu wa tanki la kusambazia maji lililopo pale juu mlimani karibu na eneo la kambi ndogo ya Jeshi.
 
Huyo atakua mgeni wa Jiji la Dodoma....Makulu ni mojawapo ya mitaa michache Dom ambayo inapata maji karibia kila siku kutokana na ukaribu wa tanki la kusambazia maji lililopo pale juu mlimani karibu na eneo la kambi ndogo ya Jeshi.
Kwa hio kumbe Maji yapo Ila anasema ya kuotea yaan sio ya uhakika ni yanatoka saa 1 au Nusu saa yanakata ni ujanja kuwahi ukiwa mbali na bomba umekula kwako
 
Kwa hio kumbe Maji yapo Ila anasema ya kuotea yaan sio ya uhakika ni yanatoka saa 1 au Nusu saa yanakata ni ujanja kuwahi ukiwa mbali na bomba umekula kwako
Kiufupi Dodoma hakuna "shida" ya maji ila kuna "mgao" wa maji kuna mitaa maji yanatoka marambili kwa wiki ,mingine mara tatu kwa wiki,mingine maranne kwa wiki n.k. Tanzania hii hakuna mji wowote ambao maji yanatoka 24/7 mwakamzima๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†. Mwanza penyewe licha ya kuzungukwa na Ziwa Victoria bado kuna changamoto ya maji
 
Hapo umesema kweli Mkuu kwa hio unataka kusema Makulu maji yanatoka mara ngapi kwa Wiki?
 
Man it's totally a mess to be here kuanzia maji ni tatzo ,vumbi la kwenda hadi inalazimu mtu uwe na glass kwa macho sasa, nashangaa kumbe kuna watu wanafurahia haya mazingira oiiih eeeh
Dom ndio Jiji lenye mtandao mpana wa barabara za lami hapa Tanzania....ukiingia city center barabara za vumbi ni za kuhesabu kamwe usilinganishe na Mwanza aisee kwenye upande wa barabara za lami Dom wanapendelewa sana just imagine barabara ya Ring Road zaidi ya kilometer 100 zinajengwa .
Halafu kwa kukusaidia tu Hali ya hewa haijawahi kuwa kigezo cha kupima ubora wa mji.Dubai,Cairo, Windhoek ni semi desert lakini kimaendeleo haikamatiki. Kama Hali ya hewa ingekua ndio kigezo cha kupima ubora wa mji basi Lushoto,Mafinga ,Makete,Njombe zingeongoza Tanzania,๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hapo umesema kweli Mkuu kwa hio unataka kusema Makulu maji yanatoka mara ngapi kwa Wiki?
Eneo la Makulu/Mkalama maji yanatoka almost kila siku kwasababu kijiografia lipo mlimani karibu na tanki kubwa la kusambazia maji.Yaani pamoja na kuwa Makulu/Mkalama ni kama uswahilini lakini wanapata maji maranyingi kwa wiki kuzidi hata mitaa ya kishua pale Dom kwamfano Ilazo,Kisasa,Uzunguni,Area E,Area D,Magereza,Miyuji Proper n.k
 
Hapo sasa naanza kuelewa kwa hio maji wanapata Ila sio kwamba maji mfululizo Ila wanapata kwa kiasi fulani tu kwa siku Mkuu si ndio hivyo au nimeelewa vibaya?
 
Ukiacha dodoma,lindi,tanga...mingine imezidi uholela hasa kule KUKAJA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ