Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Kufanya matukio kama hayo ni involuntary actions ni hasira tu za ghafla kama vile ugomvi .Maisha ya watu ni kitu kingine ngoja upoteze mtu wako wa karibu halafu usikie mtu anauliza swali kama hilo
Wasambaaa htr, hata kama atatoka ila wata mstress sana,Ila mwisho atatoka tu..
Hukumu ya kweli anatoa Mungu tu hao wasambaa watachoka labda wamroge tu
Ndiyo, scenarios huwa zipo.Kumbe hua kuna scenario wakati mwingine zinazoruhusu kuua?
Scenario ndio inahalalisha mauaji? Kwani alivamiwa?
Hajui umafia kweny kutapeliana,uwizi au mtu akuchukulie mke ..Watu wamapigwa chuma wakafie mbele na hamna kesi wala nn.Ndiyo, scenarios huwa zipo.
Unajisikia unachokisema lakini? Nimekuuliza kwa hiyo ukidhulumiwa inhalarisha uue?Kwani kafanyaje? Uzi si unasema kaua watu .
Kwa Mimi naona kawaida wanamalizana sana kweny ishu za madini no kesi.watu wanatolewa mpaka kafara ..Wapo watu kibao wamemalizana kweny ishu za dhuluna.
Hapa lazima kulikuwa na wizi, tajiri kachoka kuibiwa akaamua awahukumu...nawaza tuUnajua scenario mpaka akaua hao watu?
Umeona eeeh!! Huo ndo ukweli wamempiga pesa jamaa kumpa madini makapi then wanategemea nn?Hapa lazima kulikuwa na wizi, tajiri kachoka kuibiwa akaamua awahukumu...nawaza tu
I see!Umeona eeeh!! Huo ndo ukweli wamempiga pesa jamaa kumpa madini makapi then wanategemea nn?
😂😂😂Uongea nn? Hyo ndo sababu mpaka akaua kwamba alidhulumiwa kama ni kuzuri nenda wewe ukazulumiwe .Unajisikia unachokisema lakini? Nimekuuliza kwa hiyo ukidhulumiwa inhalarisha uue?
Maana jamaa sio chzi angemaliza mtaa wake wote hapo Kuna kisa tu.I see!
KweliMaana jamaa sio chzi angemaliza mtaa wake wote hapo Kuna kisa tu.
Siku akiuawa ndugu yako ndio urudi na hizi ngonjera hapa tuone kama una utu kweliSometime haya mambo yanafkrisha Sana , J4 tangu afungwe gari zake zote hazionekan barabarani , watu wengi wamelost ajira , ni kweli Kaua watu wawili , sasa mnaenda kumuua tena na yeye , Hz ni hesabu mbovu , Bora arud watu wapate ajira maisha yaendelee...!!
Mtoa mada kuna maelezo amenukuu kuna sentensi inasema"walihukumiwa kwa kesi ya kuua kwa kukusudia" hii sentensi peke yake inatosha kabisa hakuna haja ya kuuliza walivyoua kulikuwa na mazingira gani.Haya sielewi umeandika nn? Kwa sababu nimeuliza mazingira ambayo jamaa yalimpelekea mpaka akafanya hilo tukio.
Hiyo uliyoleta ndio hesabu mbovu. Yeye kutoa ajira sio sababu ya kuua wengine.Sometime haya mambo yanafkrisha Sana , J4 tangu afungwe gari zake zote hazionekan barabarani , watu wengi wamelost ajira , ni kweli Kaua watu wawili , sasa mnaenda kumuua tena na yeye , Hz ni hesabu mbovu , Bora arud watu wapate ajira maisha yaendelee...!!
Umeandika vizuri mwishoni umeharibu kabisa. Kipindi Cha JPM yule jangili mbunge wa Nchambi alikua tembo wangapi mbona hakufungwa jela??Alafu jamaa analeta habari za scenarios hapaa.
Watu wanahukumiwa kunyongwa kisa wamechoma mwizi mtaani aloiba Kuku akawapikie wanawe.
Alafu aliyeua watu Kwa makusudi anaachiwa??
Aibu aibu aibu ..
ANGEKUWEPO HAYATI MAGUFULI, HUU UJINGA USINGETOKEA KAMWE.