Mwanza: Mwanamke amuua mama mkwe wake kwa sumu

Ingekuwa Moshi au ni wachaga! Wanafiki na wachochezi wangejazana humu mmk.
 
We Daudi Mchambuzi acha ujinga hili sio tukio la kuchekelea.
 
Hata vifo vya kujitoa roho angalia WA dini gani wanakua wanafanya matokeo hayo zaid
 
Wanaume tunashida aisee...yaani Mama yangu mzazi.....😬😬😬
 
Bibi kizee kama yule ana gharama gani sasa ya kumtunza hadi umuue.
 
Chochote kile umtendeacho mkwe wako ndicho nawe utatendewa uzeeni.
 
Hapo mme anaoa mke mwingine maisha yanasonga.
Mwanamke mpumbavu ubomoa ndoa yake.
 
Wanawake awapendani
 
Mkuu Hivi Iraq, Afghanistan, Somalia , Sudan nk Ni watu wa Imani gani wanaishi nchi hizo? Mbona kila siku nasikia mauaji huko?
Wale ni magaidi waliojificha kwenye dini lakini hawana dini wale ni wahuni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…