Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

Huyo namba 6 ni jamaa yangu tumepiga sana mission town ,now kaingia kwenye siasa daa noma sana
 
Kumbe mama hatukumuelewa pale aliposema kuwa yeye na Magufuli ni kitu kimoja, sasa anaanza kutuonyesha umaghfuli wake. Watanganyika tunatakiwa tushikamane kumpiga vita shetani mpya
 
Nikafikiri na wewe ni miongoni mwa waliokamatwa kumbe wewe harakati zako ni hapa jf tu,

Ila nmecheka sana hapo pa kima aliechangamka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuliwaonya humu lakini wakashupaza shingo wacha yawakute
Mama kagundua kuwa ni kwanini Magufuli hakuwa na namna nyingine ya kuiendesha hii nchi zaidi ya kuwa mbogo, hivyo kaanza kuingia kwenye reli.

[emoji1542]Alivyoingia madarakani akataka kujifanya yeye atakuwa kinyume na Magufuli bila kuathirika kwa chochote, alipoanza tu kubembeleza walipa kodi hela zikaisha na kukawa na hatari ya miradi mbalimbali kukomea njiani Sasa kaona aje na Tozo Ili awakamue kabisa raia kuliko hata Magufuli.

[emoji1542]Akajifanya kutaka kuwa karibu na vyama vya upinzani, matokeo yake wakazoe na wengine wanadai watamnyoa na mwingine akasema waziwazi kabisa kuwa hawezi kumpa muda rais[emoji23], Sasa kashtuka kaanza kuwaburuza kama Magufuli.

Kiufupi mama kagundua kuwa Magufuli alikuwa sawa,na sasa kaingia kwenye reli. Kibaya zaidi anakuja kwa kasi kuliko hata mtangulizi wake.
 
Wananchiiiiiiiiíiiiii.

Hivi mnasema mnao wananchi wa kushinikiza katiba mpya, hao wananchi wako wapi ?
Wewe unasumbuliwa ujinga. Hasara si ya Cdm bali ni taifa kwa ujumla. Kuwa na nchi na viongozi wasiojulikana sheria bali matamko ni uhayawani .
 
Hivi kwanini serikali na polisi wanapenda kujitia aibu na vitu Kama hivi maana kwa nguvu inayotumia kuzuia mikutano ya wapinzani ingetumika hata nusu kuzuia moto kwenye soko la kariakoo lisingeungua lakini tunaona wanatumia nguvu kubwa kuzuia hiyo mikutano alafu kwani wangewaacha wakututane waongee mpaka wachoke kingetokea nini au serikali na polisi wanaogopa nini hao jamaa wakikutana
 
Leo hii unamwita kipenzi chako Samia genge?

Si ulikuwa unamdemkia kwamba anaupiga mwingi?
Ni kweli kabisa mwanzoni Samia alikuwa kipenzi lakini sasa ameanza kukengeuka na kuvurunda mambo, na hatafika mbali kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake.
 
Hahahahah..
Acha wanyooke
 
Naomba anaeweza kufufua ule uzi wa mahakama kurudisha zile fine walizopigwa kina Mbowe afanye hivyo tafadhali!

Kuna kima za kuwazibua akili kwenye ule uzi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ule tulipigwA..
Matango Yale..
 
Magu alikuwa anaondoka na mmoja mmoja!!!
maza anaondoka na tawi zima mpaka dereva safi sana.....wajifunze kutii mamlaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…