Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

Huyo namba 6 ni jamaa yangu tumepiga sana mission town ,now kaingia kwenye siasa daa noma sana
 
View attachment 1861764
View attachment 1861766
View attachment 1861765

Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao.

Waliochukuliwa:
1. Freeman Mbowe
2. John Pambalu
3. John Heche
4. Rose Mayemba
5. Masenya(Mwenyekiti BAVICHA Ilemela)
6. Steven Odipo
7. Dr. Rwaitama
8. Seti (Dereva kanda ya Victoria)
9. Apollo (Afisa Habari Taifa)
10. Frank Novatus (CHASO)
11. Mwakiaba (Mwenyekiti Nyamagana)
12. Benja (BAVICHA Kinondoni)

Mpaka sasa haijajulikana wamechukuliwa kwa kosa gani.

My Take.
Uonevu, uvunjifu wa haki za kiraia, kutoheshimu katiba ya nchi unaendelea kwa kasi katika serikali ya Samia Suluhu Hassan.
Anyway, Aluta continua, uonevu huu utaisha oneday, dawa tutaipata tu.

Nimkumbusha Samia kuwa alikuwepo mtu katika nchi hii anaitwa Magufuli, tulimuita Chuma, Jiwe—Leo yuko wapi?
Kumbe mama hatukumuelewa pale aliposema kuwa yeye na Magufuli ni kitu kimoja, sasa anaanza kutuonyesha umaghfuli wake. Watanganyika tunatakiwa tushikamane kumpiga vita shetani mpya
 
Waliokuwa wanaiita takataka kuwa ni "Mama" shame on you all!Having a vagina is no proof that one cannot be a tyrant.

Niliwaonya mapena kabisa kuwa hamna rais mule lakini hamkusikia.

Yule "Mama" hawezi kuwa Rais mzuri kutokana na sababu kuu tatu:

1.Anatokea CCM:Hiki chama kilishaishiwa pumzi na pozi,bila kutumia damu za watu kama fuel ya kuendeshea serikali hakiwezi kuongoza tena watu.

2.Laana za Magufuli:Mama alikuwa msaidizi wa Magufuli na alimsaidia Magufuli kutekeleza maovu yote ambayo Magufuli alifanya kama vile kuteka,kutesa,kuua,ukabila,udini,ukanda,ubaguzi wa rangi kwa mtu mweusi mwenzake,kunyaga kanyaga katiba na kadhalika na laana hizi lazima zimwandame "Mama".Ukishaonja nyama ya mtu huwezi acha kuendelea kula watu.

3.Mtu mweusi ni Kima aliechangamka:Ni mwehu peke yake ndiye anaweza kutegemea la maana kutoka kwa binadamu mweusi."Mama" ni binadamu mweusi kwa hiyo kama kawaida ni Kima aliechangamka kwa hiyo usitegemee la maana kutoka kwake.
Nikafikiri na wewe ni miongoni mwa waliokamatwa kumbe wewe harakati zako ni hapa jf tu,

Ila nmecheka sana hapo pa kima aliechangamka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuliwaonya humu lakini wakashupaza shingo wacha yawakute
Mama kagundua kuwa ni kwanini Magufuli hakuwa na namna nyingine ya kuiendesha hii nchi zaidi ya kuwa mbogo, hivyo kaanza kuingia kwenye reli.

[emoji1542]Alivyoingia madarakani akataka kujifanya yeye atakuwa kinyume na Magufuli bila kuathirika kwa chochote, alipoanza tu kubembeleza walipa kodi hela zikaisha na kukawa na hatari ya miradi mbalimbali kukomea njiani Sasa kaona aje na Tozo Ili awakamue kabisa raia kuliko hata Magufuli.

[emoji1542]Akajifanya kutaka kuwa karibu na vyama vya upinzani, matokeo yake wakazoe na wengine wanadai watamnyoa na mwingine akasema waziwazi kabisa kuwa hawezi kumpa muda rais[emoji23], Sasa kashtuka kaanza kuwaburuza kama Magufuli.

Kiufupi mama kagundua kuwa Magufuli alikuwa sawa,na sasa kaingia kwenye reli. Kibaya zaidi anakuja kwa kasi kuliko hata mtangulizi wake.
 
Wananchiiiiiiiiíiiiii.

Hivi mnasema mnao wananchi wa kushinikiza katiba mpya, hao wananchi wako wapi ?
Wewe unasumbuliwa ujinga. Hasara si ya Cdm bali ni taifa kwa ujumla. Kuwa na nchi na viongozi wasiojulikana sheria bali matamko ni uhayawani .
 
Hivi kwanini serikali na polisi wanapenda kujitia aibu na vitu Kama hivi maana kwa nguvu inayotumia kuzuia mikutano ya wapinzani ingetumika hata nusu kuzuia moto kwenye soko la kariakoo lisingeungua lakini tunaona wanatumia nguvu kubwa kuzuia hiyo mikutano alafu kwani wangewaacha wakututane waongee mpaka wachoke kingetokea nini au serikali na polisi wanaogopa nini hao jamaa wakikutana
 
Leo hii unamwita kipenzi chako Samia genge?

Si ulikuwa unamdemkia kwamba anaupiga mwingi?
Ni kweli kabisa mwanzoni Samia alikuwa kipenzi lakini sasa ameanza kukengeuka na kuvurunda mambo, na hatafika mbali kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake.
 
Mama kagundua kuwa ni kwanini Magufuli hakuwa na namna nyingine ya kuiendesha hii nchi zaidi ya kuwa mbogo, hivyo kaanza kuingia kwenye reli.

[emoji1542]Alivyoingia madarakani akataka kujifanya yeye atakuwa kinyume na Magufuli bila kuathirika kwa chochote, alipoanza tu kubembeleza walipa kodi hela zikaisha na kukawa na hatari ya miradi mbalimbali kukomea njiani Sasa kaona aje na Tozo Ili awakamue kabisa raia kuliko hata Magufuli.

[emoji1542]Akajifanya kutaka kuwa karibu na vyama vya upinzani, matokeo yake wakazoe na wengine wanadai watamnyoa na mwingine akasema waziwazi kabisa kuwa hawezi kumpa muda rais[emoji23], Sasa kashtuka kaanza kuwaburuza kama Magufuli.

Kiufupi mama kagundua kuwa Magufuli alikuwa sawa,na sasa kaingia kwenye reli. Kibaya zaidi anakuja kwa kasi kuliko hata mtangulizi wake.
Hahahahah..
Acha wanyooke
 
Naomba anaeweza kufufua ule uzi wa mahakama kurudisha zile fine walizopigwa kina Mbowe afanye hivyo tafadhali!

Kuna kima za kuwazibua akili kwenye ule uzi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ule tulipigwA..
Matango Yale..
 
View attachment 1861764

View attachment 1861765
View attachment 1861766

Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao.

Waliochukuliwa:
1. Freeman Mbowe
2. John Pambalu
3. John Heche
4. Rose Mayemba
5. Masenya(Mwenyekiti BAVICHA Ilemela)
6. Steven Odipo
7. Dr. Rwaitama
8. Seti (Dereva kanda ya Victoria)
9. Apollo (Afisa Habari Taifa)
10. Frank Novatus (CHASO)
11. Mwakiaba (Mwenyekiti Nyamagana)
12. Benja (BAVICHA Kinondoni)

Mpaka sasa haijajulikana wamechukuliwa kwa kosa gani.

=====

My Take.
Uonevu, uvunjifu wa haki za kiraia, kutoheshimu katiba ya nchi unaendelea kwa kasi katika serikali ya Samia Suluhu Hassan.
Anyway, Aluta continua, uonevu huu utaisha oneday, dawa tutaipata tu.

Nimkumbusha Samia kuwa alikuwepo mtu katika nchi hii anaitwa Magufuli, tulimuita Chuma, Jiwe—Leo yuko wapi?

====

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)

Taarifa Kwa UMMA

Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe..Freeman Mbowe alivamiwa na Jeshi la Polisi hotelini alipokuwa ( Kingdom Hotel) majira ya saa nane na nusu usiku na kumkamata pamoja na viongozi wengine waliokuwa naye.

Viongozi wengine walipelekwa Kituo cha Kati cha Polisi Mwanza,Ila Mwenyekiti Mbowe haijulikani alipelekwa wapi na mpaka Muda huu hakuna taarifa zozote za mahali alipo.
Waliokamatwa ni wafuatao;

1. Mhe .Freeman Mbow
2. Mhe.John Pambalu
3. Mhe. John Heche
4.Mhe. Rose mayemba
5. Masenya( Mwenyekiti Bavicha ilemela)
6. Steven Odipo
7.Dr. Azavel Lwaitama
8. Seti ( Dereva Kanda ya Victoria)
9. Apolinary Appolo (Afisa habari Taifa)
10. Frank Novatus (Chaso Mwanza)
11. Mwakiaba (Mwenyekiti Nyamagana)
12. Benjamin Kambarage ( M.kiti Bavicha kinondoni)

Tunalitaka Jeshi la Polisi kujitokeza na kusema alipo Mwenyekiti wa Taifa na sababu za kumkamata zilikuwa nini.

Tunalaani ukandamizaji huu wa Haki za Watanzania Kwa nguvu zote , na hizi NI dalili za wazi kuwa Udikteta uliokuwepo enzi za utawala wa Rais Magufuli bado unaendelea .

Tutatoa taarifa kadiri ya Muda na jinsi tutakavyozipokea .
Magu alikuwa anaondoka na mmoja mmoja!!!
maza anaondoka na tawi zima mpaka dereva safi sana.....wajifunze kutii mamlaka
 
Back
Top Bottom