Mwanza: Nguvu ya Umma yalidhibiti Jeshi la Polisi kuzuia fulana za Katiba Mpya Uwanjani

Rubbish
 
Una uhakika ni jeshi la polisi ndilo lililokua linawazuia au ni busara za wanachama wa chadema ndizo zilizokua zinatumika?.Ndugu usifikiri kuharibu Amani ya nchi kunahitajika mambo mengi sana.ni jambo kidogo sana linaweza likasababisha historia ikabadilika.kwahiyo ukiona busara za wenye hekima zinetumika dhidi ya nguvu usibeze ata kidogo.Wanayoyapigania nikwa manufaa ya kila mwananchi wa hii nchi kwa vizazi vya leo na vijavyo.kama wewe huna unachokiona kinapaswa kuwekwa sawa nchi hii basi wewe ni binadamu usiye na fikra yakinifu.
 
Katiba mpya haiwezi kupatikana saivi kwasababu wanaoitaka ni wanachama wa CHADEMA . Siku wakiitaka wanaichi hakuna wakuwazuia hata serikali haitoweza kudhibiti.
Hao wananchi wataitaka kupitia njia gani?.Hakuna jambo linalofanywa na watu wote.Kila jambo unaliliona duniani jua ni wazo la mtu mmoja na jitihada za wale waliolipokea hili wazo wakalifanyia kazi.sasa wewe unapozungumzia wananchi unamaanisha wananchi gani hao.Au wanachama wa chadema sio wananchi?.Kinachokosekana ni utashi wa kisiasa wa anayeongoza serikali sio zaidi ya hapo.Rais akiwa na nia njema yakuleta katiba mpya ata kesho nchi itapata katiba mpya.Hili sio jambo lakuwa na mijadala ya kuvutana kwasababu manufaa ya katiba mpya na bora yako wazi.
 
Good answers
 
Mnahamasisha vurugu kwa kuratibu vijana wajinga nyie mkiwa majumbani, kisha virungu vikitembea mnaanza kulialia.
Kuna vurugu gani imehamasishwa au umekurupuka.au unataka watu watembee uchi?
 
Siasa za kitoto, Bavicha mmekutwa,yaani hawa ndio wanaotembea nchi nzima na wanavuta posho? Kukaa uwanjani bila kutoa hotuba? Kunywa birika nne za kahawa mtaani? Mpaka Figo zinakaribia kufeli?
 
Kinachihitajika ni P.U.R.U lako
 
Jifunze kutoka nchi zilizopata katiba mpya
 
Kuna vurugu gani imehamasishwa au umekurupuka.au unataka watu watembee uchi?
Hawana nguo zaidi ya hizo fulana zenye mrengo wa kisiasa kama sio harakati? Na mbona waingie na kukaa kikundi kama sio uhuni!
 
Hapa hekima na busara ilikosekana kwa chama kuegemea upande mmoja wa timu pinzani,
Wakati mwingine tafuteni fulana zisizo fungamana na upande wowote, hata bluu si rangi ya chama? Au bora msishiriki kabisa
Hapa mmefeli na kupoteza tena kwa kushindwa kubalance Mambo.
Najiuliza chama hakina washauri wazuri
Au kila mtu anajiamuliaga kivyake!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…