Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwingine huyu hapa anajiita mungu kanisani kwa baba godi mfumo wake wa huduma ni kama zumarid nao ufuga watu
Kuna kiongozi wa dhehebu binafsi aliye tayari kufanya kolabo na mwenzie? Gwajiboy mwenyewe alishindwana na baba God waliyekwenda nae "msituni" kutafuta mbinu za kuwakamua wasiojitambua na muda mfupi baada ya kutoka huko kila mmoja akaanza kivyake.Alafu huyu mama angepiga colabo na Gwajiboy wangevuna mapesa mengi ya wazembe.
Aonyeshe miujiza sasa kama Paulo na SillaJeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ambaye ni Mchungaji wa kanisa la Zumaridi, kwa tuhuma za usafirishaji haramu wa binadamu 149 wakiwemo watoto wenye umri kati ya miaka 4 hadi 17....
Wanaweka sauti recordedKwani baada ya baba God (Godfrey Mugyabuso) kupotea katika mazingira yasiyoeleweka kwa sasa kanisa lake linaongozwa na nani?
Hata kama wanafanya hivyo lakini si patakuwepo na kiongozi wake?Wanaweka sauti recorded
Umenikong'otea eeh? ... halafu Masanja Mukandamizaji awe kiongozi wa makerubi eeh bhana!!? ... yaani ingetoka utam kinoma!Alafu huyu mama angepiga colabo na Gwajiboy wangevuna mapesa mengi ya wazembe.
We acha tuu! ... yaani namshukuru sana Mungu kwa kaelimu kangu kadogo na jicho la maono alilonipa!tatizo la serikali yetu inachelewa kuchukua hatua.
mimi nilikua najiuliza kwa nini serikali imemkalia kimya huyu kafirat anayefanya mambo ya ajabu ajabu kiasi hiki ?
halafu na sisi binadamu tunakwama wapi wakati ntumepewa akili na Mungu
Hapo nimetafuta kosa la human trafficking halipo kabisa..maana ingrideints zake unatakiwa uwe umewalazimisha hao watu kukufanyia kazi zako kwa nguvu au kiwatumikisha watu kingonoPolisi wa TZ bana.
Sasa kulikua na haja gani kuandika kuwa huyo mama anawaaminisha wafuasi wake kuwa yeye ni mungu?
Au ni moja ya makosa kisheria kamahayo makosa ya human trafficking wanayomshutumu nayo?
Kumbe zumaridi anaponya watu wenye shida! Sawa nendeni akawaponye maana niliona video clip moja amakata mauno duh!Sijaona kosa la zumaridi..polisi wa tz nani asiyewajua kwa mambo yao ya hovyo.
Naona shetani yupo kazini..kwahiyo zumaridi kakosea kuponya watu wenye shida..nahisi kuna dalili za udini na upinga kristo unaendelea nchi hii..
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
mungu wa chini ya jua atakuwaje na mume?Mfalme ana mume?
Sawa wewe amua mwenyewe kwa imani yako kuwa bangi inakupeleka mbinguni uanze kuvuta halafu uwaambie police tatizo Nini maana umeamua kwa imani yako siyo kosa.Halafu watu wameamua wenyewe kwa Imani zao wenyewe police wanawakataza kwa nini?
Ushasema bangi...Tayari imeshaainishwa ki sheria kuwa ni kosa... Ila sheria hajakataza kumuabudu Mtu unaedhani wewe kwa utashi wako kuwa ni Mungu.Sawa wewe amua mwenyewe kwa imani yako kuwa bangi inakupeleka mbinguni uanze kuvuta halafu uwaambie police tatizo Nini maana umeamua kwa imani yako siyo kosa.
Wapo wengi tu huduma inaendelea kama kawaidaHata kama wanafanya hivyo lakini si patakuwepo na kiongozi wake?
Serikali hii ya kuachia magaidi kila siku na kukamata upande mwingine..nadhani kuna shida mahali.tatizo la serikali yetu inachelewa kuchukua hatua.
mimi nilikua najiuliza kwa nini serikali imemkalia kimya huyu kafirat anayefanya mambo ya ajabu ajabu kiasi hiki ?
halafu na sisi binadamu tunakwama wapi wakati ntumepewa akili na Mungu
Kwani hao madaktari wanaokutibia unapoa hujui kuna walevi na wazinzi..inshu ni kupona matatizo yako uendelee na maisha yako..yeye akatike mauno yanakuhusu nini.Kumbe zumaridi anaponya watu wenye shida! Sawa nendeni akawaponye maana niliona video clip moja amakata mauno duh!
Mfalme mwanamke kaamua kuvaa suruali ili awe mfalme maana hakuna mfalme mwanamke.
Ni sawa na kuwa na baba mwanamke.