Mwanza: Wanafunzi na baadhi ya wananchi wasombwa kwa mabasi kupelekwa kwenye shughuli za mwenge na ziara ya Rais

Kwani ujinga wa Fisiemu lazima attack iwe kwa CDM? Kwani kuna CDM pekee hapa nchini?
 
Mkuu unajua kuwa wewe siyo chizi?
 
Mkuu unajua kuwa wewe siyo chizi?
Na makada waandamizi wa CCM wataendelea kujitolea kwa hali na mali, kuhakiisha kila mwana CCM mwenye shauku na mapenzi ya kumuona Rais Dr. Samia Suluhu Hassan, hususani anapotembelea mkoa husika. Kila mwana CCM ana haki ya kupata nafasi na fursa ya usafiri wa pamoja na wengine na kujumuika na Rais kutoka wiliaya anakotoka na kurudi bila mbambamba yoyote 🐒
 
Hiyo ndio inaitwa kujitekenya na kucheka mwenyewe. Mambo hayo ni kawaida sana kwa kiongozi/chama kikikaa madarakani muda mrefu, hutengeneza hadaa ya kuwa kinakubalika. Na humo hutumika nguvu ya dola/vitisho, rushwa, nk ili kuhadaa umma na dunia kuwa wanakubalika.
 
Hizo mbinu so outdated zilitumika sana huko ulaya mashariki enzi za vita baridi ya western na east. Nyie ndio bado mnazitumia miaka hii!
 
Utakua mgeni kwenye siasa za Nchi hii, vyama vya siasa kusomba watu kwenye shughuli zao havija Anza leo.

Ni swala la muda tu, mta shuhudia karibu vyama vyote kusomba wapenzi na mashabiki wao kutokea Kila Kona karibu na mkutano wa Chama husika.
 
Hizo mbinu so outdated zilitumika sana huko ulaya mashariki enzi za vita baridi ya western na east. Nyie ndio bado mnazitumia miaka hii!
hiyo sio mbinu gentleman 🤣

hiyo ni mipango mikakati halisi ya chama inayofanyika hadharani na kuwaleta wana CCM wa mkoa hisika pamoja na kufahamiana kwa ukaribu zaidi..

kwani kuna ubaya wowote ndrugo kukaa pamoja kwa upendo na umoja jamani 🤣

dah CCM jamani?
 
Narudia tena, hiyo ni mbinu so outdated.
 
Narudia tena, hiyo ni mbinu so outdated.
elewa basi kamanda hiyo sio mbinu ni mpango mikakati wa wazi endelevu wa CCM kuwaleta na kuwakutanisha wanachama wake kwa pamoja 🐒
 
Ccm hawajawai kuwa na utashii

Wanamfurahisha Mwenyekiti kwamba watu wanakuelewa
 
What is the problem? Sisi tulisombwa mwaka 1968 hadi Mwadui kumpokea Makamu wa Kwanza wa Rais Abedi Amani Karume: kuna ubaya gani, si ni Rais wetu? Mwaka 1991 alikuja Baba Mtakatifu Yohani Paulo II akatoa Misa pale Kawekamo. Waamini wengi tulisombwa kutoka Parokia zote Jimbo Kuu la Mwanza. Kuna ubaya gani, si ni Papa wetu? Baadaye akajaitwa Mtakatifu Yohani Paulo wa Kawekamo, isn't that great?
 
Hired crowd?
Yes, it is possible. CHADEMA hired a crowd from Moshi and Dar akiwamo mbowe ba neyaxwa ubungo to go to Tanga maziko ya Marehemu Bakari. Tanga ni Nchi ya Waislamu, maadili, walishangaa sana kuona makamanda wakimzomea Waziri akitoa duwa. Akaha

Imam akasimana kuwapa nawaidha, wakazomea na kuimba peoplezzzz power hapo hapo makaburini. Ni kikundi cha makaffir
 
Nenda kwa usafiri wa umma ufungue biashara. Wanazuia kwa vile parking sitakaa magari ya serikali!
 
Kama 1968 mlisombwa basi mlikuwa wajinga!
 
Mkuu mbona maelezo mengi sana, mimi nimekwambia tu kuwa jua wewe siyo chizi, usijivishe uchizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…