Yes,
Hilo ni jambo la kawaida kufanywa na vyama vyenye nguvu, wanachama wengi na uwezo kiuchmi kuwawezesha wanachama wake kutoka mikoa tofauti tofauti au maeneo jirani, kumobilise usafiri wa pamoja na kujumuika na viongozi wa kitaifa katika mambo mbalimbali ya kitaifa nchini ikiwa ni pamoja na Mwenge.
Zoezi hilo ni endelevu kwasababu linachochea moyo wa kizalendo na kujitolea kwa wanachama wake. Lakini pia kuimarisha undugu na utalii wa ndani..
Asanti sana makada wa CCM kwa kujitolea usafiri na maji kidogo kwa wanachama, lakini pia shukrani sana kwa wananchi wazalendo hususani wana CCM wenyewe, kwa kwa kua tayari kujitolea muda wao, kuacha shughuli zao na kujumuika na RAIS Dr Samia Suluhu Hassan, katika hafla na matukio mbalimbali ya Kitaifa kama vile Mwenge huo wa uhuru 🐒