Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Mbowe anaendelea kusema "taifa letu halipaswi kuwa taifa la kuumuza kiongozi yoyote, mwanachama yoyote, mfuasi wowote wa chama chochote. taifa letu linapaswa kuwa taifa la watu walioungana, wanaoshikamana, wanaosimama katika misingi ya demokrasia."
Karibu tena na sana jukwaani, Mkuu. Ili kunogesha uzi huu, Tuweke Picha na video, Mkuu.
 
Kama kamtukana yule nduli ni sawa, ila kama kawatukana watu wa kanda ya ziwa hilo ni tatizo. Usichanganye vitu, Jiwe na watu wa kanda ya ziwa ni vitu viwili tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…