Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Hao ni kina nani
Au mnatulazimisha tupate ban
20230121_165654.jpg
 
Utahangaika sana na CCM itatawala milele nilishasema upinzani labda baada ya miaka 100 ijayo.
Mimi Sina shida na CCM kutawala miaka 100, Tena Mimi mfuasi mzuri Sana wa Rais Samia na CCM ya Sasa

CCM niliwachukia baada ya kumuweka yule kichaa muuaji madarakani, natuamani hawatarudia Tena kosa
 
Nilileta taarifa jana kuhusu kinachoendelea huko, Mimi nipo hapa na kusema ukweli hali ni Tete. Watu Hakuna kabisa. Nini kimetokea??
Picha nimepiga mwenyewe sasa hivi saa 9 kamili
View attachment 2490119

Hiyo picha yako huoni kuwa imepigwa kichawa Chawa zaidi?

Kwa nini kwenye picha yako mpiga picha hakuwaelekea washiriki?

20230121_165654.jpg

Mtasubiri sana kwa maana Chadema inaishi mioyoni mwa watu.
 
Kwa kiongozi mwenye akili timamu hawezi kutetea madawa ya kulevya mbele ya hadhara hii ni fedheha aisee inasikitisha sana
 
Nadhani muda wa Mbowe kupumzika mambo wa siasa umewadia. Katika viwanja vya furahisha bwana Mbowe anamtukana Hayati Magufuli waziwazi. Hii inaonesha kabisa ndiye aliyekuwa anawatuma watu wake kuwaita watu wa kanda ya ziwa sukuma gang.

Hizi siasa za chuki kabisa.
Hivi ni kwanini huyu mbowe anawachukia sana watu wa kanda ya ziwa? Au kwa sababu wameacha kwenda kwenye mkutano wake?
 
Punguza jazba kunywa fanta
 
View attachment 2490270
Kwa kiongozi mwenye akili timamu hawezi kutetea madawa ya kulevya mbele ya hadhara hii ni fedheha aisee inasikitisha sana

..kuna mwanachadema amebambikiwa kesi ya madawa ya kulevya.

..sawa na freeman mbowe alivyobambikiwa kesi ya ugaidi.

..sawa na wale vijana wawili wa shinyanga waliobambikiwa kesi ya ubakaji.
 
Back
Top Bottom