Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Uwe uwee uweeeeeeee 🤌🤌🤌🤣🤣🤣🤣Nipoooooooo titiiiiiiiii 👌😹😹😹😹
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwe uwee uweeeeeeee 🤌🤌🤌🤣🤣🤣🤣Nipoooooooo titiiiiiiiii 👌😹😹😹😹
HahahManeno ya kuambiwa 😜
Mna ngenga nyie 😹😹😹Atakuja hapa kutupa content zake😊☺️🤣😂
Wameziba macho na masikioAliishia kutuandikia ni ubatili na kukimbiza upepo.. ila vijana wa farao wanasikia basi?
Piga kelele kwa Lamo wakeeeeee 😹😹😹Uwe uwee uweeeeeeee 🤌🤌🤌🤣🤣🤣🤣
YesHahah
Utapeli,utapeli, utapeliMiwanaume ya sasa hivi imekua mioga mioga tu sijui hata imekutwa na nini. Kila kitu inawasi wasi.😂😂
Uweweeeeeeeeeee 🤌🤣🤣🤣🤣Piga kelele kwa Lamo wakeeeeee 😹😹😹
Mitano tena 😹😹😹😹Uweweeeeeeeeeee 🤌🤣🤣🤣🤣
Enzi Gani hizoo? Mwanamke alitaka kutawalaTangu enzi mwanaume amekuwa mwoga pale Mwanamke anapotaka kutawala. Sio wanaume wa sasa tu. It is across generation in the whole world.
Akili akili akiliii.Utapeli,utapeli, utapeli
Kama wewe na mke wako mama junior mnazingua sana na mnatupigia kelele hapa mtaani aiseeKama unadhani nasema uongo muulize Nikki wa Pili.
Ama nasema uongo ndugu zangu?
Huna baya mdogo ake Dada anguuu 🤣🤣🤣Mitano tena 😹😹😹😹
Hahaha......Mama Junio noma sanaKama wewe na mke wako mama junior mnazingua sana na mnatupigia kelele hapa mtaani aisee
Hiyo meza unayotingisha ina vinywaji vya gharama 😹😹😹Huna baya mdogo ake Dada anguuu 🤣🤣🤣
Couple iliyobaki ni ya simati911 tu bado ina nguvu japo Ke ndio ana nguvu.
Mkuu ina maana Nikki wa pili hayupo tena kwenye u disiii???🤔Kama unadhani nasema uongo muulize Nikki wa Pili.
Ama nasema uongo ndugu zangu?
Wimbo bora hamsifii demu soma vizuri mkuu!Aliishia kutuandikia ni ubatili na kukimbiza upepo.. ila vijana wa farao wanasikia basi?
Mnatukera sana aisee next time tunawapeleka serikali ya mtaa mnatukera mzee halafu hatulali usiku kutwa kuwasuluhishaHahaha......Mama Junio noma sana
Nani kazingua bababa junior?Mnatukera sana aisee next time tunawapeleka serikali ya mtaa mnatukera mzee halafu hatulali usiku kutwa kuwasuluhisha
Sina kumbu kumbu vizuriMkuu ina maana Nikki wa pili hayupo tena kwenye u disiii???🤔