Mwathirika mkuu wa ndoa kwa Sasa ni mwanamke! Tubadili Sheria tufunge ndoa za mikataba muolewaji alipwe pesa kulingana na mkataba!

Unafurahia sana kuwainamisha!!
Ukinidanga nikakujua lazima nami nikutumie ipasavyo ili kufidia thamani ya pesa yangu niloitolea jasho.

At the end of relationship ndo tutajua Nani ana gain au ana loose Kati ya me na Ke[emoji4]
 
Hakuna maendeleo yeyote yatakayo fanyika
 
Umecomment kiutu uzima Sana chief[emoji106]
 
Na ukisha zaa alafu ukaachwa unaenda wapi na hao watoto Kuna mkataba wowote unaokulinda? Bado umepelekewa moto miaka kumi !! Hiyo kumi yote unafanya anavyotaka !
Kwani taratibu za malezi ya watoto hazijulikani mkuu?
 
Kwanza hamna fahari Kama kutoa pesa bila kuombwa na mwanamke

Pia nnaemuheshimu sn mwanamke yule nnaempa pesa bila yeye kuniomba omba au kunikumbushia kila Mara utadhani Ni deni

Mwanamke ukiwa omba omba wa pesa,
Kibaya zaid ukakomaa Sana mpk nikakupa,
Lazima ujue hiyo pesa Ina kinyongo ndani yake na ntatafuta namna yyt ile niifidie.

Ikiwemo kukutumia na kukufuja Sana kingono bila pumzi, afu jeuri ikizidi nakudump nikiwa tayar nishakupotezea Muda na soko.
 
mjh.....nimemuwazia mamaj tu hapa maskini[emoji849][emoji849]
 
Hua nacheka wanaume na story zenu za kusadikika
 
Pa
Feminist wa kiume hujuI unataka nini unakataa nini.

Unasema mwanamke analipiwa mahali kwa wazazi wake kisha tena hana mahali pa kukaa na hao wazazi which is which

Asante kwa kunielewa mkuu wangu
 
Wanawake mmeumbwa Kwa ajili yetu waache hao kufaidi Yale Mungu aliyaweka Kwa mwanamke,waswahili wanasema "fuata nyuki ule asali" Kuna kawimbi ka vijana wa hovyo kameibuka wao wanataka asali tu maumivu ya nyuki hawataki haiko hivyo Sasa.
Mumezidi kutusumbua na kutusema sasa basi kama ni rahisi vijana muoane wenyewe na sisi mutuache tutafute wazee.
 
Hahaha..
Hata mie nimeshangaa. Hawezi kutofautisha mahari na mahali
(Mahali na mahari ) hiyo r ndio imekufanya utapike kiasi hicho? Ukija humu uwe unatembea na malimao ya kulamba sikuhizi hata s ni x
 
Leo nimepita pita mtandao flani nikaona comment ya mtu kama ilivocomentiwa huku kuhusu kukataa kuoa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚alafu muda unafanana fanana nilichokikuta huko ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mumezidi kutusumbua na kutusema sasa basi kama ni rahisi vijana muoane wenyewe na sisi mutuache tutafute wazee.
Hapana achana na hao vijana tunaojua utamu wenu tupo, wazee wengi wanasumbuliwa na visukari msije wawahisha mapema, waacheni wale pensheni na wazee wenzao nyie tupambaneni tu!
 
NAONA UMEANDIKA KWA HISIA ZAIDI.
KWA ASILI MWANAUME AMEUMBWA KUPENDA,NA NDIO MAANA UPENDO WA MWANAUME HAUNA MASHARTI. ATAKUPENDABILA KUJALI ELIMU YAKO, UCHUMI WAKO, KAZI AU KIPATO CHAKO, KIFUPI HACHAGUI.
SASA KWA NINI ACHAGUE KUISHI NA WEWE KISHA BAADAYE AKUFUKUZE, AKUPIGE AU AKUDHALILISHE?. (KAWAIDA KUNA SABABU , LAZIMA SABABU ZIWEPO! NAAM NA HAPA NDIPO WENGI MNAJIZIMA DATA,NA SI KWAMBA HAMJUI KUJUA MNAJUA SANA.)
TUKIWAPA NAFASI YA KUONGEA UNAWEZA FIKIRIA MWANAMKE ALIOLEWA MWANUME AMBAYE NI TUMBO MOJA NA LUCIFER ,UKAONEWA HURUMA, WATU WAKAFUNGA KWA MAOMBI, WAKANENA KWA LUGHA, WAKA KESHA.LAKINI LINAPO KUJA SUALA LA KUTOA VIELELEZO KWA NINI UNAPIGWA, UNATESWA UNADHALILISHWA MNASHINDWA.
HUYO HUYO UNAYE MUONA MTESI KWAKO, NDIO HUYO HUYO ANAONEKANA ROMANTIC KWA WENGINE.

NDOA ZA MKATABA NI KILIO CHA WANAUME WENGI, IWE KILA MWISHO WA MWEZI MNAKWENDA OFISI YA KUUU WA WILAYA KULA KIAPO KAMA MNAENDELA AU LA.SASA UMEOLEWA NA SHETANI, PIGA CHINI TAFUTA MTAKATIFU MWENZIO ISHI NAYE
 
Ukisoma sheria ya ndoa yote inamlinda mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ