Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
Sijui Nini kimetokeaMada ya 10000 jf kuhusu ndoa leo🤷🏼♀️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui Nini kimetokeaMada ya 10000 jf kuhusu ndoa leo🤷🏼♀️
Ukinidanga nikakujua lazima nami nikutumie ipasavyo ili kufidia thamani ya pesa yangu niloitolea jasho.Unafurahia sana kuwainamisha!!
Hahaha..Feminist wa kiume hujuI unataka nini unakataa nini.
Unasema mwanamke analipiwa mahali kwa wazazi wake kisha tena hana mahali pa kukaa na hao wazazi which is which?
Hakuna maendeleo yeyote yatakayo fanyikaKokote unakoenda Tanzania mwanamke ni mhanga wa ndoa! Haijui kesho yake na linapotokea tatizo ni mwanamke ndie anafukuzwa ,kupigwa na kudhalilishwa ! Hakuna mahari mwanaume akafukuzwa ! Akifukuzwa ujue ni yeye aliekuwa analelewa!! Tubadili Sheria mwanamke aolewe kwa mkataba kwa usimamizi wa wanasheria ! Alipwe fedha kulingana na mkataba. Mahali iondolewe ! Pesa anayopewa mwanamke iwe Mali yake na sio wazazi ! Tumeshuhudia Mahali wanaopewa wazazi lakini mwisho wa siku akiachwa anaanza kunyanyasika kwa kuwa Hana Mahali pa kukaa na familia yake ,labda Ile mahari angepewa mwanamke mwenyewe bila Shaka Shaka angenunua hata kiwanja akajenga na akawa na kwake angesaidika zaidi! Wazazi wanachukua Mahali anaeenda kuteseka ni mwanamke !mwanamke wa Sasa anaonekana kama chombo Cha starehe! Ndio maana wanafanyiwa vitendo vya unyanyasaji sana !Sheria ya ndoa ya kimila na ya kidini imeshindwa kumsaidia mwanamke!!
Umecomment kiutu uzima Sana chief[emoji106]Hivi wanaotaka kulipwa huwa wanawaza nini? Kwamba ndoa ni mtaji au?
Jambo la muhimu kwa mwanaume ni kusaidia kupata watoto na kuwalea.
Na nadhani huu ndio hasa ulikuwa mpango wa Mungu wa kuumba mtu mme na mke-zaeni mkaongezeke.
Mahari ni kama zawadi tu kulingana na kipato cha mtu. Tatizo wengi wamebadili ndoa kuwa mtaji.
Vijana msiogope ndoa. Wanawake wema bado wapo. Punguzeni vigezo mara mnene, mweusi/mweupe. Oa yule anajali hisia zako nawe ujali za kwake.
Kwani taratibu za malezi ya watoto hazijulikani mkuu?Na ukisha zaa alafu ukaachwa unaenda wapi na hao watoto Kuna mkataba wowote unaokulinda? Bado umepelekewa moto miaka kumi !! Hiyo kumi yote unafanya anavyotaka !
mjh.....nimemuwazia mamaj tu hapa maskini[emoji849][emoji849]Kwanza hamna fahari Kama kutoa pesa bila kuombwa na mwanamke
Pia nnaemuheshimu sn mwanamke yule nnaempa pesa bila yeye kuniomba omba au kunikumbushia kila Mara utadhani Ni deni
Mwanamke ukiwa omba omba wa pesa,
Kibaya zaid ukakomaa Sana mpk nikakupa,
Lazima ujue hiyo pesa Ina kinyongo ndani yake na ntatafuta namna yyt ile niifidie.
Ikiwemo kukutumia na kukufuja Sana kingono bila pumzi, afu jeuri ikizidi nakudump nikiwa tayar nishakupotezea Muda na soko.
Hua nacheka wanaume na story zenu za kusadikikaKwanza hamna fahari Kama kutoa pesa bila kuombwa na mwanamke
Pia nnaemuheshimu sn mwanamke yule nnaempa pesa bila yeye kuniomba omba au kunikumbushia kila Mara utadhani Ni deni
Mwanamke ukiwa omba omba wa pesa,
Kibaya zaid ukakomaa Sana mpk nikakupa,
Lazima ujue hiyo pesa Ina kinyongo ndani yake na ntatafuta namna yyt ile niifidie.
Ikiwemo kukutumia na kukufuja Sana kingono bila pumzi, afu jeuri ikizidi nakudump nikiwa tayar nishakupotezea Muda na soko.
Feminist wa kiume hujuI unataka nini unakataa nini.
Unasema mwanamke analipiwa mahali kwa wazazi wake kisha tena hana mahali pa kukaa na hao wazazi which is which
Asante kwa kunielewa mkuu wanguHaswaa! Wawili mkikubaliana kuoana kwa mkataba iwe miaka tano,kumi itakuwa rahisi kuendelea na hiyo ndoa sababu mtakuwa mmejuana vilivyo na kama mtu ana kisirani atajuwa hapa baada ya huu mkataba basi ndoa inaisha, lakini mkihesshimiana baada ya miaka 5/10 basi mnaweza kuona uwezekano wa kuurudia mkataba mpya muongeze miaka mingine kama ile ya mwanzo lakini kwa tahadhari kubwa.
Mumezidi kutusumbua na kutusema sasa basi kama ni rahisi vijana muoane wenyewe na sisi mutuache tutafute wazee.Wanawake mmeumbwa Kwa ajili yetu waache hao kufaidi Yale Mungu aliyaweka Kwa mwanamke,waswahili wanasema "fuata nyuki ule asali" Kuna kawimbi ka vijana wa hovyo kameibuka wao wanataka asali tu maumivu ya nyuki hawataki haiko hivyo Sasa.
😂😂Aunt una nn lakini
Hapana achana na hao vijana tunaojua utamu wenu tupo, wazee wengi wanasumbuliwa na visukari msije wawahisha mapema, waacheni wale pensheni na wazee wenzao nyie tupambaneni tu!Mumezidi kutusumbua na kutusema sasa basi kama ni rahisi vijana muoane wenyewe na sisi mutuache tutafute wazee.
Nlijua tu ntakukuta hapaKijana kataa ndoa
Ndoa ni utapeli
Ndoa Ni wizi
Unajua maana ya mwanamke kufujwa au unaskia kwa wenzio Hizo habar mkuu?Hua nacheka wanaume na story zenu za kusadikika
NAONA UMEANDIKA KWA HISIA ZAIDI.Kokote unakoenda Tanzania mwanamke ni mhanga wa ndoa! Haijui kesho yake na linapotokea tatizo ni mwanamke ndie anafukuzwa, kupigwa na kudhalilishwa! Hakuna mahari mwanaume akafukuzwa! Akifukuzwa ujue ni yeye aliekuwa analelewa!
Tubadili Sheria mwanamke aolewe kwa mkataba kwa usimamizi wa wanasheria! Alipwe fedha kulingana na mkataba. Mahali iondolewe! Pesa anayopewa mwanamke iwe Mali yake na sio wazazi! Tumeshuhudia Mahali wanaopewa wazazi lakini mwisho wa siku akiachwa anaanza kunyanyasika kwa kuwa Hana Mahali pa kukaa na familia yake.
Labda Ile mahari angepewa mwanamke mwenyewe bila Shaka Shaka angenunua hata kiwanja akajenga na akawa na kwake angesaidika zaidi! Wazazi wanachukua Mahali anaeenda kuteseka ni mwanamke! Mwanamke wa Sasa anaonekana kama chombo Cha starehe! Ndio maana wanafanyiwa vitendo vya unyanyasaji sana! Sheria ya ndoa ya kimila na ya kidini imeshindwa kumsaidia mwanamke!!