Mwathirika mkuu wa ndoa kwa Sasa ni mwanamke! Tubadili Sheria tufunge ndoa za mikataba muolewaji alipwe pesa kulingana na mkataba!

Mwathirika mkuu wa ndoa kwa Sasa ni mwanamke! Tubadili Sheria tufunge ndoa za mikataba muolewaji alipwe pesa kulingana na mkataba!

Unafurahia sana kuwainamisha!!
Ukinidanga nikakujua lazima nami nikutumie ipasavyo ili kufidia thamani ya pesa yangu niloitolea jasho.

At the end of relationship ndo tutajua Nani ana gain au ana loose Kati ya me na Ke[emoji4]
 
Kokote unakoenda Tanzania mwanamke ni mhanga wa ndoa! Haijui kesho yake na linapotokea tatizo ni mwanamke ndie anafukuzwa ,kupigwa na kudhalilishwa ! Hakuna mahari mwanaume akafukuzwa ! Akifukuzwa ujue ni yeye aliekuwa analelewa!! Tubadili Sheria mwanamke aolewe kwa mkataba kwa usimamizi wa wanasheria ! Alipwe fedha kulingana na mkataba. Mahali iondolewe ! Pesa anayopewa mwanamke iwe Mali yake na sio wazazi ! Tumeshuhudia Mahali wanaopewa wazazi lakini mwisho wa siku akiachwa anaanza kunyanyasika kwa kuwa Hana Mahali pa kukaa na familia yake ,labda Ile mahari angepewa mwanamke mwenyewe bila Shaka Shaka angenunua hata kiwanja akajenga na akawa na kwake angesaidika zaidi! Wazazi wanachukua Mahali anaeenda kuteseka ni mwanamke !mwanamke wa Sasa anaonekana kama chombo Cha starehe! Ndio maana wanafanyiwa vitendo vya unyanyasaji sana !Sheria ya ndoa ya kimila na ya kidini imeshindwa kumsaidia mwanamke!!
Hakuna maendeleo yeyote yatakayo fanyika
 
Hivi wanaotaka kulipwa huwa wanawaza nini? Kwamba ndoa ni mtaji au?

Jambo la muhimu kwa mwanaume ni kusaidia kupata watoto na kuwalea.
Na nadhani huu ndio hasa ulikuwa mpango wa Mungu wa kuumba mtu mme na mke-zaeni mkaongezeke.

Mahari ni kama zawadi tu kulingana na kipato cha mtu. Tatizo wengi wamebadili ndoa kuwa mtaji.

Vijana msiogope ndoa. Wanawake wema bado wapo. Punguzeni vigezo mara mnene, mweusi/mweupe. Oa yule anajali hisia zako nawe ujali za kwake.
Umecomment kiutu uzima Sana chief[emoji106]
 
Na ukisha zaa alafu ukaachwa unaenda wapi na hao watoto Kuna mkataba wowote unaokulinda? Bado umepelekewa moto miaka kumi !! Hiyo kumi yote unafanya anavyotaka !
Kwani taratibu za malezi ya watoto hazijulikani mkuu?
 
Kwanza hamna fahari Kama kutoa pesa bila kuombwa na mwanamke

Pia nnaemuheshimu sn mwanamke yule nnaempa pesa bila yeye kuniomba omba au kunikumbushia kila Mara utadhani Ni deni

Mwanamke ukiwa omba omba wa pesa,
Kibaya zaid ukakomaa Sana mpk nikakupa,
Lazima ujue hiyo pesa Ina kinyongo ndani yake na ntatafuta namna yyt ile niifidie.

Ikiwemo kukutumia na kukufuja Sana kingono bila pumzi, afu jeuri ikizidi nakudump nikiwa tayar nishakupotezea Muda na soko.
 
Kwanza hamna fahari Kama kutoa pesa bila kuombwa na mwanamke

Pia nnaemuheshimu sn mwanamke yule nnaempa pesa bila yeye kuniomba omba au kunikumbushia kila Mara utadhani Ni deni

Mwanamke ukiwa omba omba wa pesa,
Kibaya zaid ukakomaa Sana mpk nikakupa,
Lazima ujue hiyo pesa Ina kinyongo ndani yake na ntatafuta namna yyt ile niifidie.

Ikiwemo kukutumia na kukufuja Sana kingono bila pumzi, afu jeuri ikizidi nakudump nikiwa tayar nishakupotezea Muda na soko.
mjh.....nimemuwazia mamaj tu hapa maskini[emoji849][emoji849]
 
Kwanza hamna fahari Kama kutoa pesa bila kuombwa na mwanamke

Pia nnaemuheshimu sn mwanamke yule nnaempa pesa bila yeye kuniomba omba au kunikumbushia kila Mara utadhani Ni deni

Mwanamke ukiwa omba omba wa pesa,
Kibaya zaid ukakomaa Sana mpk nikakupa,
Lazima ujue hiyo pesa Ina kinyongo ndani yake na ntatafuta namna yyt ile niifidie.

Ikiwemo kukutumia na kukufuja Sana kingono bila pumzi, afu jeuri ikizidi nakudump nikiwa tayar nishakupotezea Muda na soko.
Hua nacheka wanaume na story zenu za kusadikika
 
Pa
Feminist wa kiume hujuI unataka nini unakataa nini.

Unasema mwanamke analipiwa mahali kwa wazazi wake kisha tena hana mahali pa kukaa na hao wazazi which is which

Haswaa! Wawili mkikubaliana kuoana kwa mkataba iwe miaka tano,kumi itakuwa rahisi kuendelea na hiyo ndoa sababu mtakuwa mmejuana vilivyo na kama mtu ana kisirani atajuwa hapa baada ya huu mkataba basi ndoa inaisha, lakini mkihesshimiana baada ya miaka 5/10 basi mnaweza kuona uwezekano wa kuurudia mkataba mpya muongeze miaka mingine kama ile ya mwanzo lakini kwa tahadhari kubwa.
Asante kwa kunielewa mkuu wangu
 
Wanawake mmeumbwa Kwa ajili yetu waache hao kufaidi Yale Mungu aliyaweka Kwa mwanamke,waswahili wanasema "fuata nyuki ule asali" Kuna kawimbi ka vijana wa hovyo kameibuka wao wanataka asali tu maumivu ya nyuki hawataki haiko hivyo Sasa.
Mumezidi kutusumbua na kutusema sasa basi kama ni rahisi vijana muoane wenyewe na sisi mutuache tutafute wazee.
 
Hahaha..
Hata mie nimeshangaa. Hawezi kutofautisha mahari na mahali
(Mahali na mahari ) hiyo r ndio imekufanya utapike kiasi hicho? Ukija humu uwe unatembea na malimao ya kulamba sikuhizi hata s ni x
 
Leo nimepita pita mtandao flani nikaona comment ya mtu kama ilivocomentiwa huku kuhusu kukataa kuoa 😂😂😂alafu muda unafanana fanana nilichokikuta huko 😂😂😂
 
Mumezidi kutusumbua na kutusema sasa basi kama ni rahisi vijana muoane wenyewe na sisi mutuache tutafute wazee.
Hapana achana na hao vijana tunaojua utamu wenu tupo, wazee wengi wanasumbuliwa na visukari msije wawahisha mapema, waacheni wale pensheni na wazee wenzao nyie tupambaneni tu!
 
Kokote unakoenda Tanzania mwanamke ni mhanga wa ndoa! Haijui kesho yake na linapotokea tatizo ni mwanamke ndie anafukuzwa, kupigwa na kudhalilishwa! Hakuna mahari mwanaume akafukuzwa! Akifukuzwa ujue ni yeye aliekuwa analelewa!

Tubadili Sheria mwanamke aolewe kwa mkataba kwa usimamizi wa wanasheria! Alipwe fedha kulingana na mkataba. Mahali iondolewe! Pesa anayopewa mwanamke iwe Mali yake na sio wazazi! Tumeshuhudia Mahali wanaopewa wazazi lakini mwisho wa siku akiachwa anaanza kunyanyasika kwa kuwa Hana Mahali pa kukaa na familia yake.

Labda Ile mahari angepewa mwanamke mwenyewe bila Shaka Shaka angenunua hata kiwanja akajenga na akawa na kwake angesaidika zaidi! Wazazi wanachukua Mahali anaeenda kuteseka ni mwanamke! Mwanamke wa Sasa anaonekana kama chombo Cha starehe! Ndio maana wanafanyiwa vitendo vya unyanyasaji sana! Sheria ya ndoa ya kimila na ya kidini imeshindwa kumsaidia mwanamke!!
NAONA UMEANDIKA KWA HISIA ZAIDI.
KWA ASILI MWANAUME AMEUMBWA KUPENDA,NA NDIO MAANA UPENDO WA MWANAUME HAUNA MASHARTI. ATAKUPENDABILA KUJALI ELIMU YAKO, UCHUMI WAKO, KAZI AU KIPATO CHAKO, KIFUPI HACHAGUI.
SASA KWA NINI ACHAGUE KUISHI NA WEWE KISHA BAADAYE AKUFUKUZE, AKUPIGE AU AKUDHALILISHE?. (KAWAIDA KUNA SABABU , LAZIMA SABABU ZIWEPO! NAAM NA HAPA NDIPO WENGI MNAJIZIMA DATA,NA SI KWAMBA HAMJUI KUJUA MNAJUA SANA.)
TUKIWAPA NAFASI YA KUONGEA UNAWEZA FIKIRIA MWANAMKE ALIOLEWA MWANUME AMBAYE NI TUMBO MOJA NA LUCIFER ,UKAONEWA HURUMA, WATU WAKAFUNGA KWA MAOMBI, WAKANENA KWA LUGHA, WAKA KESHA.LAKINI LINAPO KUJA SUALA LA KUTOA VIELELEZO KWA NINI UNAPIGWA, UNATESWA UNADHALILISHWA MNASHINDWA.
HUYO HUYO UNAYE MUONA MTESI KWAKO, NDIO HUYO HUYO ANAONEKANA ROMANTIC KWA WENGINE.

NDOA ZA MKATABA NI KILIO CHA WANAUME WENGI, IWE KILA MWISHO WA MWEZI MNAKWENDA OFISI YA KUUU WA WILAYA KULA KIAPO KAMA MNAENDELA AU LA.SASA UMEOLEWA NA SHETANI, PIGA CHINI TAFUTA MTAKATIFU MWENZIO ISHI NAYE
 
Back
Top Bottom